KERO Ukiwa na mkopo Songesha hupati mkopo benki

KERO Ukiwa na mkopo Songesha hupati mkopo benki

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Wewe lipa Chao tu porojo na ujanja ujanja mbele Giza Tena nene

Utakuja kwama kinaisha Kwa vitu vidogo tu

Ukikopa Hata Kwa mtu usiyeejuana naye sana Hata Bila maandishi mlipokopeshana deni lake mlipe Bila longolongo kama alivyokupa Bila longolongo.
Mimi sidaiwi ww jamaa acha kuropoka rooks hovyo
 
Aaagh wapi kuna mahali walisema hivyo wakati wanakukopesha au hujui kuna haki ya mkopiaji pia?
Ujanja ujanja kama huu ndio unasababisha watanzania wengi ngozi nyeusi kubwa wagumu kupewa mikopo wahindi,waarabu na wapemba hukopeshana Bila maandishi na hulipana Bila shida yeyote

Mhindi akienda kukopa benki ndani ya Siku moja tu mkopo anapewa sababu walipaji wazuri mswahili ngozi nyeusi unampa mkopo Mfano Bila maandishi anaanza ujuaji Lete ushahidi kama ulinikopesha shahidi Yako nani Nenda mahakamani huko Mimi haujawahi nikopesha

Ukipewa mkopo Bila longolongo na unapolipa lipa Bila longolongo usilete longolongo kwenye kulipa

Ndio maana mabenki uuweka Hata riba juu sana na usumbufu mwingi Kwa mkopaji mswahili ngozi nyeusi kutaka madhamana kibao na yenyewe Hadi benki ihangaike kuhakiki sababu aweza leta fake documents ni shida.

Wao wamekukopesha Bila kelele Bila longolongo kulipa hulipi unaleta longolongo ndio maana Sasa hivi wanalink na credit reference bureau wakopaji ambayo huleta longolongo kulipa wanazobwa kote kwenye benki yeyote asipate mkopo abakie na ujuaji wake huko mtaani au aende akakope kule Kwa watoa mikopo kausha damu Sio kwenye mabenki
 
Wewe hujielewi Sasa hivi ni ulimwengu wa kidigitali.Hakuna ofisa mikopo anafanya kazi manually Kila kitu Kiko kwenye system ya computer.Ukiomba mkopo computer inaenda kuangalia padt records zako je mlipaji mzuri ukikopa imekuwa programmed kama siyo.inaleta jibu no hata kama ulikopa elfu moja hujurejesha na Sasa unabuwezo wa kurejesha Kwa Mwezi milioni 1000

Sasa kama una pesa ya kukatwa laki mbili Kwa mwezi unashindwa nini kulipa elfu 20 ? Kutolipa elfu 20 ni kiashiria kuwa wewe tapeli na maafisa utumishi wako Kutaka kutapeli benki system ya computer imekutema haitapeliki
Ukiwavl na mkopo wa mtandao Uwe wa simu au online lipa

Sasa hivi takwimu za history za ukopaji na ulipaji ukienda benki Ni Kwa system ya computer tu ikisema NO hakuna wa kukupa mkopo na hawajisumbui kuhakiki kuwa unadaiwa elfu 20 au shilingi kumi wanajua wewe hufai kukopeshwa msumbufu na tapeli
Umenichekesha sana, kwamba hiyo computer imefanyaiwa programming na robot au binadamu? Kwamba 1000 unayodaiwa ndiyo izuie mtumishi wa umma mwenye uhakika wa dhamana ya serikali ndo benki ikose 15,000,000 ya faida.
 
Computer System Yenyewe taarifa inayotoa ni kuwa huyu mtu Sio mlipaji Mzuri wa mikopo Hata kama ulikopa elfu moja songesha ukaingia mitini yenyewe inatoa status ya ulipaji wako haiangalii kiwango Wala kukitaja.Inatoa status Yako wewe kama mkopaji

Sasa Afisa mikopo wa Benki akishaona status Yako ya ulipaji kuwa ni mbovu anakutupilia mbali haanzi Tena kuanza kuhangaika kuwa hicho ambacho wewe Sio mlipaji Mzuri ni Nini? Ni kumpotezea muda tu Afisa mikopo.Wewe mwenyewe hakikisha kabla kwenda kukopo ume clear hayo madeni ya songesha nk na Uzuri unayaona mwenyewe kwenye simu Yako kaya Clear halafu jaribu kuomba Sasa una mamilioni kinachokufanya ushindwe kulipa deni la elfu moja Nini kama Sio mtu magumu kulipa madeni ya watu
 
Wewe lipa Chao tu porojo na ujanja ujanja mbele Giza Tena nene

Utakuja kwama kimaisha Kwa vitu vidogo tu

Ukikopa Hata Kwa mtu usiyeejuana naye sana Hata Bila maandishi mlipokopeshana deni lake mlipe Bila longolongo kama alivyokupa Bila longolongo.
Changamoto Mkuu unalipa lakini Bado wamekuweka Kwenye High risk ,Wakati umeshalipa ,na hata kama ulikuwa unalipa mda umeenda wanakupiga risk Kwenye kukopa bank
 
Umenichekesha sana, kwamba hiyo computer imefanyaiwa programming na robot au binadamu? Kwamba 1000 unayodaiwa ndiyo izuie mtumishi wa umma mwenye uhakika wa dhamana ya serikali ndo benki ikose 15,000,000 ya faida.
Huu ni uonevu wa Hali ya juu yaani mitandao ya simu ikopeshe Mtu buku Bila hata marsharti harafu inakupelekea kuzui mkopo wa mfanyakazi, yaani Mambo kipuuzi kabisa, na watu wanaosimamia haya ,ni wabinafisi roho za chuki na wamechoka kufikiri
 
SONGESHA na MIKOPO mingine ya simu imepelekea watumishi KUNYIMWA mikopo WAnapoenda bank kukopa, na hii ni kutokana na mamlaka zinazosimamia mikopo kuweka utaratibu wa madaraja high risk,risk na low risk katika kadiri mteja anaposongesha.

Hilo limetokea Leo Mimi mwenyewe nilipoenda bank na kuingia Kwenye mfumo wa ess utumishi, bank walivyoingia na kutumia mkopo ukawa rejected,nikaenda voda nikawalipa SONGESHA yote lakini Bado mfumo ulisoma high risk.

Nawashauri wale ambao hamjaingia Kwenye hili jini SONGESHA msijalibu mbeleni litawaleta shida

Mamlaka zinasimamia Mikopo hili LA simu hasa Mikopo ya nivushe, SONGESHA, Gold, bustisha ziwe na term of condition, Yani taratibu za mwanachama kukubali
Songesha si tatizo, wewe unayekopa songesha halafu hulipi ndio tatizo. Wenzetu duniani utaratibu huo wameanza zamani sana, ukienda kukopa bank wanauliza taarifa zako za mikopo kwenye bank zote nyingine, wakikuta huko umesumbua kulipa na kwao hupati
 
Unataka kusema Mteja wa Vodacom Songesha anaweza kuwa na Deni linaloweza kuathiri kukopeshwa na Benki?

Kivipi jambo
hilo likahusiana?
Wengi wetu tunafikiri mikopo ya mitandao ya simu kwa sababu huwa hawataki vielelezo vingi zaidi ya namba za NIDA tulizosajilia basi mtu anaweza akakopa halafu akawakimbia kwa kuhama line.

Lakini wao walishalijua hili mapema so inaonekana walipoenda kuomba license ya kufanya hii biashara waliomba pia wawe na uwezo wa kuingilia taarifa binafsi za wateja wao kwenye mizunguko yao ya fedha nje ya mitandao yao ili inapotokea mteja kukosa uaminifu kwao wawe na uwezo wa kuzishawishi taasisi nyengine zizuie mikopo watakapoenda kuwakopa mpaka watakapowalipa na hili linafanikiwa kwa sababu ya namba za NIDA tulizosajilia.

Ukienda popote kukopa wakiingiza ID card # yako kama una kimeo unawekwa uchi,na ukweli ktk hilo wamefanikiwa sana nimemsoma mdau mmoja humu asubuhi akilalamika songesha ya 5K imemfanya awe na sifa ya kutokopesheka hata alipoilipa still akaonekana ni mzigo hakopesheki,nadhani wanatumia ile kanuni ya ”ukikosa uaminifu kwa kitu kidogo huwezi kuwa muaminifu na kitu kikubwa”
 
Huu ni uonevu wa Hali ya juu yaani mitandao ya simu ikopeshe Mtu buku Bila hata marsharti harafu inakupelekea kuzui mkopo wa mfanyakazi, yaani Mambo kipuuzi kabisa, na watu wanaosimamia haya ,ni wabinafisi roho za chuki na wamechoka kufikiri
Masharti huwepo sema wewe hukusona unaambiwa unakubali unajibu haraka haraka ndio Bila kusoma

Pili ukikopa sawa hata kama masharti hukusoma si unajua kuwa unatakiwa kulipa.Au wewe ukikopa kwenye mitandao unadhani hizo pesa sababi hamjawahi onana uso Kwa uso unadhani wao wanaokikopesha wajinga wewe ndie mjanja kuwa pesa Yao hulipi kuwa ni wajinga kuanzisha biashara za kukopesha mtandaoni wewe mkopaji ndio una akili sanaaa kuliko wao wenye pesa za kukopesha

Imekula kwako Mwenye pesa sio mwenzio uelewe Hilo ukikopa Kwa Mwenye pesa usipomlipa ni tofauti na ukikopa Kwa mwa maskini maskini atamuachia Mungu sababu hajui Cha kukufanya.Mabenki na wakopeshaji mitandaoni ni wenye pesa Hela Yao haipotei Iko Siku utaangua kilio tu na uliojiona mjanja Hadi mitaani watakucheka kuwa hakuwa na akili kuwa hukujua kuwa ukikopa ulipe?
 
Hatulipi ng'o hata mje na nini?
Kwanza mnariba sio rafiki, pili mnadanganya wateja
Riba unaijua Leo Wakati unakopa hukuiona? Sahau kukopa benki wewe utaishia kukopa mikopo kausha damu ya mitandaoni na benki sahau hiyo kausha damu ndiko utaishia ambayo unakopa laki moja na dhamana unakabidhi hati ya nyumba au gari ukishindwa kulipa mwezi mmoja tu wanauza nyumba na gari vyote Kwa mpigo laki mbili wachukue marejesho yao ya laki moja halafu watakuacha unalia kama mbwa kuwa haiwezekani nyumba na gari viuzwe laki mbili
 
Ujanja ujanja kama huu ndio unasababisha watanzania wengi ngozi nyeusi kubwa wagumu kupewa mikopo wahindi,waarabu na wapemba hukopeshana Bila maandishi na hulipana Bila shida yeyote

Mhindi akienda kukopa benki nani ya Siku moja tu mkopo anapewa savabu walipaji waziri mswahili ngozi nyeusi unampa mkopo Mfano Bila maandishi anaanza ujuaji Lete ushahidi kama ulinikopesha shahidi Yako nani Nenda mahakamani huko Mimi haujawahi nikopesha

Ukipewa mkopo Bila longolongo na unapolipa lipa Bila longolongo usilete longolongo kwenye kulipa

Ndio maana mabenki uuweka Hata riba juu sana na usumbufu mwingi Kwa mkopaji mswahili ngozi nyeusi kutaka madhamana kibao na yenyewe Hadi benki ijangaike kuhakiki sababu aweza leta fake documents ni shida.

Wao wamekukopesha Bila kelele Bila longolongo kulipa hulipi unaleta longolongo ndio maana Sasa hivi wanalink na credit reference bureau wakopaji ambayo huleta longolongo kulipa wanazobwa kote kwenye benki yeyote asipate mkopo abakie na ujuaji wake huko mtaani au aende akakope kule Kwa watoa mikopo kausha damu Sio kwenye mabenki
Sawa credit officer
 
SONGESHA na MIKOPO mingine ya simu imepelekea watumishi KUNYIMWA mikopo WAnapoenda bank kukopa, na hii ni kutokana na mamlaka zinazosimamia mikopo kuweka utaratibu wa madaraja high risk,risk na low risk katika kadiri mteja anaposongesha.

Hilo limetokea Leo Mimi mwenyewe nilipoenda bank na kuingia Kwenye mfumo wa ess utumishi, bank walivyoingia na kutumia mkopo ukawa rejected,nikaenda voda nikawalipa SONGESHA yote lakini Bado mfumo ulisoma high risk.

Nawashauri wale ambao hamjaingia Kwenye hili jini SONGESHA msijalibu mbeleni litawaleta shida

Mamlaka zinasimamia Mikopo hili LA simu hasa Mikopo ya nivushe, SONGESHA, Gold, bustisha ziwe na term of condition, Yani taratibu za mwanachama kukubali
Watumishi wa umma nanyi akili zenu ni kibaba haswa, unaendaje kukopa upuuzi kama huo?
 
Back
Top Bottom