De Rama Msirikale
Member
- Nov 30, 2020
- 31
- 15
Kama upo Dar nenda mtaa wa Zanaki kuna bureau de change nimeisahau jina karibu na mtaa wa India nenda hapo watakubadilishia lakini exchange rate inashuka kidogo.Habari wapambanaji,mie nipo na fedha za kigeni ila nadhani muda wake ktk currently utilise kwema market umeisha,nauliza kunauwezekano wa kuziexchange hizo fedha ktk pesa ya ndani tafadhari.
Bank hawana ushauri wowote zaidi watakwambia pesa zimeexpire na ukweli ndio huo.Nenda nazo bank wanaweza wakakupa ushauri
Sasa hayo maduka ya bureau yatamkubalia kweli? Nani wa kubeba hiyo risk ya hela iliyo expire?Bank hawana ushauri wowote zaidi watakwambia pesa zimeexpire na ukweli ndio huo.
Nimeandika kitu ninachokijua vizuri, aende kwenye hayo maduka mawili alete hapa mrejesho.Sasa hayo maduka ya bureau yatamkubalia kweli? Nani wa kubeba hiyo risk ya hela iliyo expire?
BOT wanachukua noti za Tanzania zilizochakaa au kuchanika, hawachukui foreign expired currency.Tawi la benki kuu mkoani kwako
Mkuu dollar zilizo expire zinaanzia mwaka gani?Mi nilienda bank nilikuwa na dollar 100 za mwaka 2006 wakazikataa wakasema zimeisha mda nikawauliza mtanisaidiaje wakasema hawana msaada, sahv zipo tu kwenye wallet natembea nazo kama pambo
Mi nilienda bank nilikuwa na dollar 100 za mwaka 2006 wakazikataa wakasema zimeisha mda nikawauliza mtanisaidiaje wakasema hawana msaada, sahv zipo tu kwenye wallet natembea nazo kama pambo
Nimeenda jana oake mlimani City bereau de change ya kadoo nimeambiwa zimeshaexpere hivo nilichange zingine tu,hiyo unayosema Dr Matola PhD ni kampuni ipi nifahamishe tafadhari
Nami ningependa kufahamu
Nami ningependa kufahamu