Ukiwa na pesa ya kigeni ambayo muda wake umeishapita kimatumizi, naweza ipeleka mahali gani niweze itumia katika kurefund thamani yake!

Ukiwa na pesa ya kigeni ambayo muda wake umeishapita kimatumizi, naweza ipeleka mahali gani niweze itumia katika kurefund thamani yake!

Joined
Nov 30, 2020
Posts
31
Reaction score
15
Habari wapambanaji,

Mie nipo na fedha za kigeni ila nadhani muda wake ktk currently utilise kwema market umeisha, nauliza kuna uwezekano wa kuziexchange hizo fedha ktk pesa ya ndani tafadhali.
 
Habari wapambanaji,mie nipo na fedha za kigeni ila nadhani muda wake ktk currently utilise kwema market umeisha,nauliza kunauwezekano wa kuziexchange hizo fedha ktk pesa ya ndani tafadhari.
Kama upo Dar nenda mtaa wa Zanaki kuna bureau de change nimeisahau jina karibu na mtaa wa India nenda hapo watakubadilishia lakini exchange rate inashuka kidogo.

Wana duka lao lingine Livingston na Uhuru, ukitokea Minazi mmoja lipo upande wa kushoto hapo pia wanakubadilishia.
 
Mi nilienda bank nilikuwa na dollar 100 za mwaka 2006 wakazikataa wakasema zimeisha muda, nikawauliza mtanisaidiaje wakasema hawana msaada, sahv zipo tu kwenye wallet natembea nazo kama pambo.
 
Nimeenda jana pale mlimani City bureau de change ya kadoo nimeambiwa zimeshaexpere hivyo nilichange zingine tu, hiyo unayosema Dr Matola PhD ni kampuni ipi nifahamishe tafadhali
 
Mi nilienda bank nilikuwa na dollar 100 za mwaka 2006 wakazikataa wakasema zimeisha mda nikawauliza mtanisaidiaje wakasema hawana msaada, sahv zipo tu kwenye wallet natembea nazo kama pambo

Niuuzie hizo pesa.

Au kama ni nyingi njoo PM nakupa hela
 
KAMA KUNA MTU ANAZO NYINGI PIGA SIMU AU NJOO PM HARAKA, KUNA CHIMBO LANGU LA KUZIUZA

USICHELEWE HATA DAKIKA 1
 
Back
Top Bottom