Maisha ni safari ndefu sanaKuna mwamba anafanya shughuli zake stand anapiga debe ikifika muda wa kulala anarudi zake hospital ipo jirani na stand,na asubuhi anaoga vizuri
Uhakika ni kula tu👍Kuna mwamba anafanya shughuli zake stand anapiga debe ikifika muda wa kulala anarudi zake hospital ipo jirani na stand,na asubuhi anaoga vizuri
Naunga mkono hoja.Ukiwa na sehemu salama ya kulala usiku, shukuru sana hata kama unalalia mkeka.
Kuna watu usiku ukiingia wanabaki na mawazo tu ya wataegemea wapi, watajisitiri wapi, au wataamkaje salama kesho yake.
Usiku huwa mrefu sana kwa mtu asiye na pa kulala.
Kile unachokiona cha kawaida, kwa mwingine ni ndoto kubwa sana.
ChaiKuna mwamba anafanya shughuli zake stand anapiga debe ikifika muda wa kulala anarudi zake hospital ipo jirani na stand,na asubuhi anaoga vizuri
Tembea uone ama ulizwa uelekezweChai
ChaiTembea uone ama ulizwa uelekezwe