Ukiwa na sehemu ya kulala usiku shukuru sana, usiku ni mrefu sana kama umekosa pa kulala

Mkata Uzi kwa sisi wasafiri tunakuelewa sana

Unafika nchi ina baridi kalii na watu wamekukataa kukupokea unaanza kulala kwenye madaraja

Una kaz wala pesa ya kujikimu, maisha magumu

Kwa kweli shukuru kama una pakulala
 
Nakubaliana nawe nitakujq kusimulia hustle yangu kwenye huu uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…