Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Again SnowBall hizo ni sifa basic za kumnasa Mdada, sifa za kumkeep ni zaidi ya hizo; ndipo swala la kujali, uaminifu etc linapokuja.
Cc Zion Daughter
Mwanaume mwenye uelewa mdogo kwa kweli jiandae kuwa Mama yake kama alivyosema Kaunga . Mtu anaweza kuwa na umri mkubwa au elimu lkn bado ni mama boy
::
Mwanaume hata awe na akili kiasi gani akipata mwanamke bomu,,maendeleo yatakuwa hovyo.
Let me tell you
Mrembo by Nature
Ushawahi kujiuliza ni kwa nini asilimia kubwa ya wanaume mbumbumbu ndio matajiri wakubwa?
Kuna sababu nyingi,mojawapo ni kuwa
"Behind the successful man there is a successful wife"
Hivyo basi ni wanawake wachache sana kama wewe wanaotazama IQ ya mwanaume ktk maisha ikoje,,wengi hawajishughulishi na hilo wanaona Kwa Degree,Masters,Doctorate or Phd basiii huyo ana akili,ana pesa n.k simple calculation,why bother?
=
Bamia hata kwenye mlenda zipo........cash ndio mpango mzima.....
Kaunga nakubaliana na wewe kuwa kumpata mdada ni jambo jengine
Na kudumu naye ni jambo jengine...inahitajika zaidi kuzitafsiri zile sifa alizokupendea kivitendo zaidi.
Mfano kama kakupendea usomi wako inabidi kweli udhihirishe kuwa 'umesoma' in real life sio kuwa na mavyeti tu!
Wengi huwa tunadhani ili kumnasa mdada inatosha na hatujiongezi na ndio unakuja kushangaa shamba boy anakunyang'anya mke!
Lakini unaweza shindwa kumkeep kama humjali, unamcheat, unamuabuse etc.
You are very right, as always. Sina cha kuongeza kwa kweli.
::
Kaunga My dear
Ngoja leo niseme ambacho sikupenda kusema,,
Mwanamke anapokutana na mwanaume ktk uchumba anaangalia sebule,,chumba cha wageni,,master room,,jiko n.k Anampomkuta mwanaume ana vyumba 4 kati ya 7 anavyohitaji Ye basi hayo mengine yatakuja tu!
HILO NI KOSA KUBWA..maana kadri muda unavyoenda anagundua hata 4 vimekuwa 2
I mean
Ukitanguliza Masters,Pesa,Age,Gari Unaona vyumba vimetimia Kumbe umesahau Utu,Upendo,Care n.k vitu ambavyo havihitaji elimu.
KWA WANAUME MAKINI hadi anayotaka yatimie otherwise atakufanya ka godoro ka kusubiri mwingine
=
Kaunga ni kweli umekosa cha kuongeza?....dont tell me!
Wakati mwingine huwa nafikiri haya mambo ya kusema nimempenda flani ni sawa na 'gambling' tu.
Na always the end justifies the means...Ironically , huwa haijalishi mwenzako kakupendea nini lakini 'ile jinsi' ya kuishi na huyo mwenzio ndio jambo la msingi. Na hapa naamini Mrembo by Nature atanisapoti...
::
Msomi (at least Masters in progress)
::
Pesa (sio za mawazo)
::
Umri (at least 30+)
::
Sifa nyingine unazofikiria hazina nguvu sana..Labda umpate aliyetendwa sana hadi benchi limemchosha !!
Niko tayari kukosolewa.
=
Kaunga ni kweli umekosa cha kuongeza?....dont tell me!
Wakati mwingine huwa nafikiri haya mambo ya kusema nimempenda flani ni sawa na 'gambling' tu.
Na always the end justifies the means...Ironically , huwa haijalishi mwenzako kakupendea nini lakini 'ile jinsi' ya kuishi na huyo mwenzio ndio jambo la msingi. Na hapa naamini Mrembo by Nature atanisapoti...
Mhhh mie mapenzi nayakosea kikokoteo (formular), kikubwa kama ulivyosema ni namna mnavyoishi na sio kilichokuvuta kwake, kilichokuvuta chaweza kutoweka muda wowote sasa kama ukiendekeza hlo sidhani kama unakuwa sahihi.
Kumpenda mtu sidhani kama ni gambling, kujiingiza kwenye mapenzi with expectation that you will be loved in return, now that is gambling.
Ukicheza karata zako vizuri bila pretence au kutegea waweza mfanya huyo mwenzako akawa fond of you hata kama mwanzo hakuwa na feelings nawe.
Kuna mtu aliniambia the big the investment the big the risk and mwisho the big the return or loss.
Lakini kumbuka pia mnapokuwa mmeamua kuwa wapenzi..bila kujali nani alimuanza mwenzie basi nyote mnakuwa na nafasi sawa ya kuthibitishiana kuwa hamkukutana kwa nasibu..Mapenzi mazuri ni yale ambamo kila mtu anajiona ana deni kwa mwenzi wake na kwamba hakuna wa zaidi kuliko mapenzi yenyewe...Tatizo ninaloliona mie ni pale mmoja wenu anapojiona yeye ndio 'alopendwa' zaidi na kutaka anyenyekewe simply kwa kuwa bado anapata 'mitongozo' ya kumwaga mtaani....
Mimi siangaliii una nini mkononi ila upeo wa wapi unataka ufike na uwezo wako wa kuitumia akili kukufikisha pale ambapo unatamani ufike, kweli kwangu mimi mwanaume ambae thinking capacity yake iko low simhitaji katika maisha yangu, najua hela tutatafuta, elimu pia mashule kila siku yanafunguliwa so atajiendeleza lakini swala la upeo ni kitu kingine nje ya elimu.
Huwa unafanyaje unapokutana na hali hiyo ya mmoja kujimilikisha haki ya kutetemekewa hasa anapogundua anapendwa? ongea kutoka moyoni mwako kitu ambacho una uzoefu nacho