Ukiwa na sifa hizi,, Utapata mwenza haraka hapa JF

Kaunga nakubaliana na wewe kuwa kumpata mdada ni jambo jengine
Na kudumu naye ni jambo jengine...inahitajika zaidi kuzitafsiri zile sifa alizokupendea kivitendo zaidi.
Mfano kama kakupendea usomi wako inabidi kweli udhihirishe kuwa 'umesoma' in real life sio kuwa na mavyeti tu!
Wengi huwa tunadhani ili kumnasa mdada inatosha na hatujiongezi na ndio unakuja kushangaa shamba boy anakunyang'anya mke!

Again SnowBall hizo ni sifa basic za kumnasa Mdada, sifa za kumkeep ni zaidi ya hizo; ndipo swala la kujali, uaminifu etc linapokuja.
Cc Zion Daughter
 
Last edited by a moderator:
Hizo sifa muhimu kweli lakini sio guarantee au kusema with only that una sifa za kumpata mwenza.

Unaweza kuwa na sifa zote hapo juu lakini una tabia flani flani zilizoshindikanika obviously hazitamshawishi mtu
 
::
Mwanaume hata awe na akili kiasi gani akipata mwanamke bomu,,maendeleo yatakuwa hovyo.
Let me tell you
Mrembo by Nature
Ushawahi kujiuliza ni kwa nini asilimia kubwa ya wanaume mbumbumbu ndio matajiri wakubwa?
Kuna sababu nyingi,mojawapo ni kuwa
"Behind the successful man there is a successful wife"
Hivyo basi ni wanawake wachache sana kama wewe wanaotazama IQ ya mwanaume ktk maisha ikoje,,wengi hawajishughulishi na hilo wanaona Kwa Degree,Masters,Doctorate or Phd basiii huyo ana akili,ana pesa n.k simple calculation,why bother?
=

All in all kwangu mimi kigezo ni hicho, najua mwanamke ndio msingi wa nyumba lakini atleast upeo uwepo ili nikajazie patakapohitaji. I will not be there for a mbumbumbu hata kama ana phd 10. Mungu anampa mtu kile akiwazacho nina imani nitampata wa kufanana nae
 
You are very right, as always. Sina cha kuongeza kwa kweli.
Kaunga nakubaliana na wewe kuwa kumpata mdada ni jambo jengine
Na kudumu naye ni jambo jengine...inahitajika zaidi kuzitafsiri zile sifa alizokupendea kivitendo zaidi.
Mfano kama kakupendea usomi wako inabidi kweli udhihirishe kuwa 'umesoma' in real life sio kuwa na mavyeti tu!
Wengi huwa tunadhani ili kumnasa mdada inatosha na hatujiongezi na ndio unakuja kushangaa shamba boy anakunyang'anya mke!
 
Last edited by a moderator:
Lakini unaweza shindwa kumkeep kama humjali, unamcheat, unamuabuse etc.

::
Kaunga My dear
Ngoja leo niseme ambacho sikupenda kusema,,
Mwanamke anapokutana na mwanaume ktk uchumba anaangalia sebule,,chumba cha wageni,,master room,,jiko n.k Anampomkuta mwanaume ana vyumba 4 kati ya 7 anavyohitaji Ye basi hayo mengine yatakuja tu!
HILO NI KOSA KUBWA..maana kadri muda unavyoenda anagundua hata 4 vimekuwa 2
I mean
Ukitanguliza Masters,Pesa,Age,Gari Unaona vyumba vimetimia Kumbe umesahau Utu,Upendo,Care n.k vitu ambavyo havihitaji elimu.
KWA WANAUME MAKINI hadi anayotaka yatimie otherwise atakufanya ka godoro ka kusubiri mwingine
=
 
Last edited by a moderator:
Kaunga ni kweli umekosa cha kuongeza?....dont tell me!
Wakati mwingine huwa nafikiri haya mambo ya kusema nimempenda flani ni sawa na 'gambling' tu.
Na always the end justifies the means...Ironically , huwa haijalishi mwenzako kakupendea nini lakini 'ile jinsi' ya kuishi na huyo mwenzio ndio jambo la msingi. Na hapa naamini Mrembo by Nature atanisapoti...

You are very right, as always. Sina cha kuongeza kwa kweli.
 
Last edited by a moderator:
Katika vyumba hivyo 4 kati ya 7, nikotanguliza elimu, upendo, heshima na kujali na kutumaini kuwa vingine nyumba, pesa za kutosha, magari vitakuja bado nitakuwa nimekosea????
::
Kaunga My dear
Ngoja leo niseme ambacho sikupenda kusema,,
Mwanamke anapokutana na mwanaume ktk uchumba anaangalia sebule,,chumba cha wageni,,master room,,jiko n.k Anampomkuta mwanaume ana vyumba 4 kati ya 7 anavyohitaji Ye basi hayo mengine yatakuja tu!
HILO NI KOSA KUBWA..maana kadri muda unavyoenda anagundua hata 4 vimekuwa 2
I mean
Ukitanguliza Masters,Pesa,Age,Gari Unaona vyumba vimetimia Kumbe umesahau Utu,Upendo,Care n.k vitu ambavyo havihitaji elimu.
KWA WANAUME MAKINI hadi anayotaka yatimie otherwise atakufanya ka godoro ka kusubiri mwingine
=
 
Last edited by a moderator:
Kaunga ni kweli umekosa cha kuongeza?....dont tell me!
Wakati mwingine huwa nafikiri haya mambo ya kusema nimempenda flani ni sawa na 'gambling' tu.
Na always the end justifies the means...Ironically , huwa haijalishi mwenzako kakupendea nini lakini 'ile jinsi' ya kuishi na huyo mwenzio ndio jambo la msingi. Na hapa naamini Mrembo by Nature atanisapoti...

Mhhh mie mapenzi nayakosea kikokoteo (formular), kikubwa kama ulivyosema ni namna mnavyoishi na sio kilichokuvuta kwake, kilichokuvuta chaweza kutoweka muda wowote sasa kama ukiendekeza hlo sidhani kama unakuwa sahihi.
 
::
Msomi (at least Masters in progress)
::
Pesa (sio za mawazo)
::
Umri (at least 30+)
::
Sifa nyingine unazofikiria hazina nguvu sana..Labda umpate aliyetendwa sana hadi benchi limemchosha !!
Niko tayari kukosolewa.
=

mbona unapata shida we sema unatafuta bwana mwenye sifa hizo,usizunguke
 
Kumpenda mtu sidhani kama ni gambling, kujiingiza kwenye mapenzi with expectation that you will be loved in return, now that is gambling.
Ukicheza karata zako vizuri bila pretence au kutegea waweza mfanya huyo mwenzako akawa fond of you hata kama mwanzo hakuwa na feelings nawe.
Kuna mtu aliniambia the big the investment the big the risk and mwisho the big the return or loss.
Kaunga ni kweli umekosa cha kuongeza?....dont tell me!
Wakati mwingine huwa nafikiri haya mambo ya kusema nimempenda flani ni sawa na 'gambling' tu.
Na always the end justifies the means...Ironically , huwa haijalishi mwenzako kakupendea nini lakini 'ile jinsi' ya kuishi na huyo mwenzio ndio jambo la msingi. Na hapa naamini Mrembo by Nature atanisapoti...
 
Last edited by a moderator:
Lakini kumbuka pia mnapokuwa mmeamua kuwa wapenzi..bila kujali nani alimuanza mwenzie basi nyote mnakuwa na nafasi sawa ya kuthibitishiana kuwa hamkukutana kwa nasibu..Mapenzi mazuri ni yale ambamo kila mtu anajiona ana deni kwa mwenzi wake na kwamba hakuna wa zaidi kuliko mapenzi yenyewe...Tatizo ninaloliona mie ni pale mmoja wenu anapojiona yeye ndio 'alopendwa' zaidi na kutaka anyenyekewe simply kwa kuwa bado anapata 'mitongozo' ya kumwaga mtaani....

Mhhh mie mapenzi nayakosea kikokoteo (formular), kikubwa kama ulivyosema ni namna mnavyoishi na sio kilichokuvuta kwake, kilichokuvuta chaweza kutoweka muda wowote sasa kama ukiendekeza hlo sidhani kama unakuwa sahihi.
 
Mbona mie sina hizo sifa na mademu kutwa wanizungua PM hadi nawaripoti kwa mods
 
Kwa mtizamo wangu niliposema mapenzi ni sawa na 'gambling' nilisema hivyo nikimaanisha kuwa ..in most cases we always fall in love by being attracted by individuals' outlooks other their the inner sides...Tuna presume kwamba pengine ule uzuri tunaouona in the first place utakuwa manifested kwenye maisha halisi ya mahusiano. Wakati mwingine tunapatia na wakati mwingine inakula kwetu...Kiukweli wengi wetu tunatamani na sisi tupendwe in the same way tunavyowapenda wenzetu!

Kumpenda mtu sidhani kama ni gambling, kujiingiza kwenye mapenzi with expectation that you will be loved in return, now that is gambling.
Ukicheza karata zako vizuri bila pretence au kutegea waweza mfanya huyo mwenzako akawa fond of you hata kama mwanzo hakuwa na feelings nawe.
Kuna mtu aliniambia the big the investment the big the risk and mwisho the big the return or loss.
 
Lakini kumbuka pia mnapokuwa mmeamua kuwa wapenzi..bila kujali nani alimuanza mwenzie basi nyote mnakuwa na nafasi sawa ya kuthibitishiana kuwa hamkukutana kwa nasibu..Mapenzi mazuri ni yale ambamo kila mtu anajiona ana deni kwa mwenzi wake na kwamba hakuna wa zaidi kuliko mapenzi yenyewe...Tatizo ninaloliona mie ni pale mmoja wenu anapojiona yeye ndio 'alopendwa' zaidi na kutaka anyenyekewe simply kwa kuwa bado anapata 'mitongozo' ya kumwaga mtaani....

Huwa unafanyaje unapokutana na hali hiyo ya mmoja kujimilikisha haki ya kutetemekewa hasa anapogundua anapendwa? ongea kutoka moyoni mwako kitu ambacho una uzoefu nacho
 
Mimi siangaliii una nini mkononi ila upeo wa wapi unataka ufike na uwezo wako wa kuitumia akili kukufikisha pale ambapo unatamani ufike, kweli kwangu mimi mwanaume ambae thinking capacity yake iko low simhitaji katika maisha yangu, najua hela tutatafuta, elimu pia mashule kila siku yanafunguliwa so atajiendeleza lakini swala la upeo ni kitu kingine nje ya elimu.

Bi Mrembo, sasa upeo wa akili ya mtu wewe unaupimaje? Kwa kuangalia shule alizosoma, madaraja aliyopata kwenye mitihani ya taifa, au shahada alizonazo?

Manake si wengine ambao hatuna shahada yaweza ikawa ndo imekula kwetu hivyo. Tunachokiona mbele ni doom and gloom tu.
 
Okay..swali zuri umeuliza Mrembo wa asili..
Binafsi huwa nina vigezo vyangu ambavyo ninampima navyo mwenzangu kama 'analithamini' penzi letu zaidi ya kutaka tu kuniridhisha mie. Kikubwa ni kuwa huwa ninakuwa muwazi toka siku ya kwanza na napenda kujua upande wa mwenzangu pia toka tunapoanzana. Uzoefu wangu unanionyesha kuwa wanawake walio wengi 'graph' ya mapenzi kwa wenzi wao huwa inaongezeka kwa kadri umri wa penzi unavyosogea...tofauti na wanaume ambao kadri mafinikio yanavyoongezeka basi na 'upendo' huwa unapungua restrospectively...Kikubwa ni kujitahidi 'kurekebishana' kwa sababu mapenzi hayana mwalimu!

Back
Top Bottom