Ukiwa na sifa hizi,, Utapata mwenza haraka hapa JF

Bi Mrembo, sasa upeo wa akili ya mtu wewe unaupimaje? Kwa kuangalia shule alizosoma, madaraja aliyopata kwenye mitihani ya taifa, au shahada alizonazo?

Manake si wengine ambao hatuna shahada yaweza ikawa ndo imekula kwetu hivyo. Tunachokiona mbele ni doom and gloom tu.

Hapana siangalii elimu yake kwa maana ya digrii ngapi amezipanga au vipi kama umenisoma toka mwanzo, naangalia uwezo wake na upeo wake kwenye 'practical problem solving skills'.
Ikawa bahati akawa na elimu kubwa nitaangalia je elimu yake ameitumia na ameiapply vipi nje ya ajira ya kuajiriwa? kwa ufupi siangalii madigrii, japo elimu japo ya form six ili nitakapokuwa na code mix na ku code switch anielwe vyema isijetokea lugha gongana akaona kama nimemtukana bure.

Hhhaha maisha bwana nilishawahi kutana na mkaka mwenye hela chafu(ni femasi sana mkoa fulani sitautaja kwani mdogo wake pia ni JF member) lakini na akili yake kwenye maisha ilikuwa inachanga hasa lakini la saba ambae hata sidhani kama alimaliza hlo la saba, kweli alinipenda saaaaaana na mie nilimpenda. Sasa ishu ikaja kwenye lugha gongana. Basi siku mie nkaamua kumpima tu kuona kama lugha zitaendana , nikawa nachanganya lugha kwa makusudi huwezi amini akawa anaona namtukana na ananung'unika kuona eti kwasababu hajasoma mie namtukana kwa kingereza...haya siku ingine nikamwambia basi dear kule chuo kuna theory ya sociology tunatakiwa tuchangie kuinunua ili tufundishiwe. Mkaka akaingia mfukoni akatoa hela bila hata kujua nini anakitolea hela. Nikajua hapa siko sehemu sahihi

Lengo la mfano wangu ni kuweka sawa kwamba elimu itakuwa ya muhimu kwa sababu tu ya kuondoa ile inferiority kati yetu hasa kwa upande wake yeye ila si kama kigezo cha kupima upeo wake.
 
Woga wako kwakudhani JF ni waadhiri hata makapuku wengi tu kumpata mwenza ni wewe unavyomtokea sound only can blast the speaker!Kwa hiyo hata mawaziri wakike,directors,MPs utashindwa kuwatokea kwakudhani ni kwa ajiri ya watu wa aina yao!kumbe watu wa ainayao wanawakimbia!pole sana utakaa sana Tetra jipime
 
Last edited by a moderator:
Katika vyumba hivyo 4 kati ya 7, nikotanguliza elimu, upendo, heshima na kujali na kutumaini kuwa vingine nyumba, pesa za kutosha, magari vitakuja bado nitakuwa nimekosea????

::
Una taarifa kuwa yale uliyompendea mtu Kesho yanaweza geuka yakawa sababu ya kukufanya usijisikie kutokuwa nae,,tena yasiposhughulikiwa yanakuwa mtihani mkubwa?
Let me tell you,,
Niliwahi kutamaniwa na dada mmoja...akawa anaeleza kwa watu sifa nyingi zilizomfanya avutiwe nami Lakini alirudia tena "..tatizo mkimya sana hadi namuogopa.." Kauli hii ilipozidi nilimwita nikamwambia ukweli tafuta mwingine.
Unajua kwa nini nilifanya hivo? Nilitaka atafute mtu ambae vyumba 7 vimetimia ili vyumba vikianza kupungua ktk mwaka wa 3,5,7, na wa 9 wa ndoa Abakize chumba ambacho kilimfanya anipende na hapo ndipo tai ya matatizo yetu ktk ndoa yataisha.
Thus..kama nafasi inakuruhusu timiza 7
(@Kaunga punguza kunichokoza ohoo!)
 
Hapana siangalii elimu yake kwa maana ya digrii ngapi amezipanga au vipi kama umenisoma toka mwanzo, naangalia uwezo wake na upeo wake kwenye 'practical problem solving skills'.
Ikawa bahati akawa na elimu kubwa nitaangalia je elimu yake ameitumia na ameiapply vipi nje ya ajira ya kuajiriwa? kwa ufupi siangalii madigrii, japo elimu japo ya form six ili nitakapokuwa na code mix na ku code switch anielwe vyema isijetokea lugha gongana akaona kama nimemtukana bure.

Hhhaha maisha bwana nilishawahi kutana na mkaka mwenye hela chafu(ni femasi sana mkoa fulani sitautaja kwani mdogo wake pia ni JF member) lakini na akili yake kwenye maisha ilikuwa inachanga hasa lakini la saba ambae hata sidhani kama alimaliza hlo la saba, kweli alinipenda saaaaaana na mie nilimpenda. Sasa ishu ikaja kwenye lugha gongana. Basi siku mie nkaamua kumpima tu kuona kama lugha zitaendana , nikawa nachanganya lugha kwa makusudi huwezi amini akawa anaona namtukana na ananung'unika kuona eti kwasababu hajasoma mie namtukana kwa kingereza...haya siku ingine nikamwambia basi dear kule chuo kuna theory ya sociology tunatakiwa tuchangie kuinunua ili tufundishiwe. Mkaka akaingia mfukoni akatoa hela bila hata kujua nini anakitolea hela. Nikajua hapa siko sehemu sahihi

Lengo la mfano wangu ni kuweka sawa kwamba elimu itakuwa ya muhimu kwa sababu tu ya kuondoa ile inferiority kati yetu hasa kwa upande wake yeye ila si kama kigezo cha kupima upeo wake.

Ahsante kwa jibu lako la utondoti.
 
Hongera kwa kumjali mwenzako..ni wachache sana
=
 
Ha ha ha. dah theory ya sociology inanunuliwa!? hiyo kali
 
Woga wako kwakudhani JF ni waadhiri hata makapuku wengi tu kumpata mwenza ni wewe unavyomtokea sound only can blast the speaker!Kwa hiyo hata mawaziri wakike,directors,MPs utashindwa kuwatokea kwakudhani ni kwa ajiri ya watu wa aina yao!kumbe watu wa ainayao wanawakimbia!pole sana utakaa sana Tetra jipime

::
KakaKiiza
Ha ha nimekupata vema,,ila Jamiiforum ni mtandao kama ilivyo facebook,Twitter etc Kwa hiyo ni mahali unapoweza pata mwenza Mungu akipenda.
Hivyo basi unapokuwa na sifa hizo at first sight ni tiketi bora itakayokufanya umpate haraka.
Kuhusu the so called "kupiga sound" sikatai maana kuna wanaume wanaongea utadhani wamechanjwa ulimini,,wanawapata wahadhiri,wabunge et maana penzi halina status.
Ila Pesa,elimu na umri ni Masterkey ya kuwapata wanawake wasomi.
=
 
Last edited by a moderator:
mbona unapata shida we sema unatafuta bwana mwenye sifa hizo,usizunguke

::
Sorry 4u Am a complete man,,dont be misled by Id.
Hii ndo raha ya Jf usiangalie ID angalia upeo wa mtu.
=
 
Ha ha ha. dah theory ya sociology inanunuliwa!? hiyo kali

Si haelewi kaka wa watu, ilikuwa kila leo ni misunderstanding kisa lugha, hata kwenye mijadala ya kawaida tu akiona hoja yake haina mshiko atasema kwa sababu nina elimu ndo maana inaamuliwa yangu(elimu yenyewe basi elimu kihiivyo ni kibachelor tu ndugu) ila kilinitoa jasho hadi nikasema hapana sitarudia kosa.
 
Mimi nanasifa zote zilizotajwa hapo juu! Nina masters na PhD on progress, ninanyumba, gari na pesa ya kula sio tatizo, aliyetayari ani-PM!
 
Shida yote ya nini nenda Kona baa uajibebea mizigo ya kumwaga usipasue kichwa kwa mapenzi ya isidingo
 
mbona mm ninazo hizo sifa lakini sijampata huyo mwenza....kupata mwanza its a process and needs more than that
 
Mimi nanasifa zote zilizotajwa hapo juu! Nina masters na PhD on progress, ninanyumba, gari na pesa ya kula sio tatizo, aliyetayari ani-PM!

Nimeku PM..!Lol
 
Duh hizi form 4 zetu fedheha aisee!!! sijui nitoke vipi! hela yenyewe tia maji tia maji!!!
 
Wakuu mbna mnanifanya nijisikie vibaya.. Pesa sina,kichwani bongolala,umri ndo hivyo unanitupa mkono.. Jmn thread nyingine ni matusiii duuh..
 
Back
Top Bottom