Ukiwa na USD 500,000 unaingiza vipi Tanzania kama upo nje ya nchi?

Sijajua kwa huko changamoto ya kununua na kuuza crypto currency ikoje ila ingekuwa rahisi kama hapa bongo ungejipa hata miezi 6 hakika ungekuwa ushaibadilisha hiyo cash yako yote kuwa digital currency bila ugumu wowote kidogo kidogo.
 
Nunua dhahabu
 
afuate njia zinazoruhusiwa kawaida kabisa hizo njia nyingine ni uhujumu uchumi.
 
money laundering inatakiwa kuwa na 'predicate offence", ndio maana tunasema kama source ya pesa zako ni safi na upo ushahidi, labda ulifanya biashara na kuna tax clearance au notification yeyote toka kwenye bank yako ya ulaya, FIU (financial intelligence unit) ya Tanzania haita leta longolongo yeyote ya kuwaalart mabenki ya kibongo, na nijuavyo (kwasababu nilishawahi kusafirisha pesa), zikifika tu hapa bongo bank husika watakupigia simu kabisa kukuuliza source ya pesa, ni requirement ya sheria ya money laundering act, kama upo ushahidi kwamba pesa ni safi hawana shida. pia hata kama hauna ushahidi, hawana mamlaka kufreeze account, utawashitaki, freezing of accounts inatakiwa kufuata sheria, IGP ana siku zake 7 AU 14 KAMA SIKOSEI, then hapo hadi amri ya mahakama. bila hayo pesa zako utaendelea kuaccess na hakuna wa kufreeze.

katika ufahamu wote wa mambo haya, siku zote bank huwa inakuwa upande wa mteja (wewe), ndio maana hata freezing of accounts, bila amri ya mahakama au kwa mujibu wa mamlaka ya siku chache hizo za IGP, hawawezi kuzuia pesa zako na wanafurahia pesa zako zikiwekwa kwenye bank yao kwasababu wanapata faida na hawataki kuchafua jina la bank yao kwa kuonekana kama inanyanyasa wateja.
 
Talk with big importers, of course there will be a consideration; sign an agreement, give them the money. He will import whatever he is registered to import. Atauza na kukupa hela yako.
Huwezi kuwa na $500,000 usijue kizungu.
If you got those bucks legitimately you can remit them through the bank
 
Hustle ya kutafuta inaendelea
 
dola laki tano ni pesa ndogo sana kusafirisha. watu wanasafirisha bilions. kama upo na bank nzuri hapa bongo, mfano ni CRDB au stanbic, fanya tu transfer toka bank ya ulaya kuja ya bongo. ila kuwa na vielelezo vya usafi (biashara au chochote etc). ikifika hapa, pesa zako hazitakuwa frozen hadi uwe kwenye tuhuma inayopelelezwa na polisi au ukiwa umefunguliwa mashtaka. ukiwa kwenye tuhuma, labda nchi ya nje imeleta tuhuma kwamba umefanya kosa kule ndio unahamishia/unasafishia pesa huku, IGP ana siku chache sana za kufreeze akaunti yako bila amri ya mahakama (7 to 14 days), baada ya hapo bank wanatakiwa kuachia pesa zako manake polisi watakuwa wameshindwa kuleta tuhuma yeyote. kama bank wataendelea kuzuia, unaweza kuwafungulia kesi wakulipe fidia. pia, kama umefunguliwa shauri mahakamani, mahakama inaweza kutoa order baada ya maombi. sasa wewe kama pesa zako ni safi, serikali ya tanzania itakufunguliwa mashitaka ya nini hadi pesa yako iwe frozen? au polisi watafanay uchunguzi wa nini bila kuwepo tuhuma au mlalamikaji? nilishawahi kuwa na account HSBC bank, nilisafirisha pesa zilipofika tu, nilipigiwa simu wakauliza, nikawapa majibu, mambo yaliishia hapo.
 
Unachanganya mafile kijana
 
Namba 1 na 4 itamsaidia zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…