Ukiwa na USD 500,000 unaingiza vipi Tanzania kama upo nje ya nchi?

Kwani ni lazima kuziweka zote!!? Hata malipo si lazima ufanye yote! Kila kitu anafanya mdogo mdogo mpaka zoezi linaisha
 
Nione nikusaidie chap hata kama una more than billions of dollar unaziingiza chap with zero fee ni salama na haraka[emoji736]
 
kwa wasomali inawezekana wakaaminika kule, manake wana migahawa ulaya huko, ukipitishia kwao na wakakukata kamisheni fulani, na huku bongo wana wasomali wenzao, labda.
SUala la Msingi ni Uaminifu. Ki aaili wasomali wanaaminiana sana kwenye pesa. Somalia wana masoko(kama ya wauza nyanya tz) ya kubadilisha fedha, fedha maburungutu yanapangwa mezani kama nyanya na hakuna wizi, ukifika muda wa swala wanafunika maburungutu yao na kwenda maikitini bila hofu yoyote.
 
shida hata hapa bongo, msomali akiingiza pesa tu, alart ya terrorism financing (al shabab) inaanzia hapo. atafuatiliwa hadi biashara zake zingine bila yeye kujua. wanalijua hilo na hawapendi kuingia kwenye risk hizo kwa mambo ya kipuuzi. kwa wasiojua, biashara nyingi sana za wasomali south africa, africa yote na ulaya, huwa ni za ma pirates na watu wa magendo. ndio maana hata south wanao uwezo kuuza bidhaa zao kwa bei ya chini san ana wanakopesha kirahisi, na biashara zao zinasimama hawafilisiki. why? ni kwasababu pale wanapofanya biashara hawafanyi biashara, wanasafisha tu pesa chafu.
 
Sio lazima aweke pesa yote bank! Yeye anaweka mdogo mdogo kadiri anavyofanya manunuzi, na manunuzi mengine analipa mdogo mdogo
Ndiyo hiyo sasa nakuambia ina shida. Wewe utakuwa unapeleka fedha kidogo kidogo benki mara kwa mara bila maelezo ya unakozitoa? Majuu mishahara na biashara zote kubwa malipo yanafanyika through benki. Siyo kama Bongo unaweza kuweka fedha bila maswali mengi. Tena ukiwa unaweka mara kwa mara ndiyo kabisaa... utashukiwa kuna biashara haramu unafanya. Au unafanya kazi kinyume cha sheria.
 
shida hata hapa bongo, msomali akiingiza pesa tu, alart ya terrorism financing (al shabab) inaanzia hapo. atafuatiliwa hadi biashara zake zingine bila yeye kujua. wanalijua hilo na hawapendi kuingia kwenye risk hizo kwa mambo ya kipuuzi.
Ukijua hivi wenzako wanajua vile
 
ukiwa unaweka mara kwa mara hata wao wasipoamua kukushtukia, mitambo yao tu itawashtua. ndio traces za ushahidi hizo.
 
Mpaka hapo basi tena ila akijichanganya kwa wasomali ndio the end ya pesa zake
 
chukua tu $40,000 cash peleka kudeposit bank ulaya, utashtukiwa. binafsi, nilipofungua account tu ya kawaida, kwanza kabisa maswali niliyokutana nayo ni, lengo lako la kufungua account ni nini?
Utashtukiwa nn na ww ulikuwa unajitunzia mwenyewe? Documents unazo haina shida.
 
Inategemea. Kuna watu hizi ndizo kazi zao na hawaibi fedha ya mtu hata tone. Kazi ni kuwajua. Kwa mfano China wapo wabongo wanaoweza kufanya haya.
Hapo njia nzuri ambayo risk ni chache ila itamchukua muda mrefu ni manunuzi ya bidhaa tu na kuzi adress bongo! Pesa aweke bank mdogo mdogo kulingana na event anayoifanya mpaka amalize! Hapa bongo hata akileta makontena ya mitumba atauza tu! Kuna mitambo, kuna magari, kwenye technology humo ndio kabisaa, kwenye kilimo usiseme
 
Sirahisi kivipi mbona easy tuu mm mbona nilikuwa napokea ila za bro ktk miradi yake ni western na switft chini ya 15 milioni hakuna shida yoyote tena kama anaweza kila week anaweka mzigo 2 labda awe anaishi kimagendo huko aliko.
frequent transactions ulaya huwa zinaweka alart kwa bank na mifumo mingine ya kiulinzi, brother yako lazima alikuwa na pesa safi na hazikuwa kwenye salfate, zilikuwa bank, hivyo alikuwa anaenda palepale bank anatuma western union kwa deduction ya mumo kwa momo, sio kibongobongo kama hapa una pesa mkononi unaenda western union wazitume kwa mtu mwingine. na bro wako lazima alishaulizwa na alitoa ufafanuzi ndio maana aliendelea kutuma na alisavaivu. la sivyo ungeshamkosa. angekuwa jela sasaivi.
 
Utashtukiwa nn na ww ulikuwa unajitunzia mwenyewe? Documents unazo haina shida.
ulaya hatutunzi pesa nyumbani, pesa huwa zinakaa bank, hivyo ukionekana na pesa ambazo sio reasonable home, tayari unakuwa mshukiwa kwa namna fulani hadi wajiridhishe kwamba hufanyi biashara chafu na hukwepi kodi. hao matajiri wa ulaya unaowaona, pesa zao zote zipo kwenye mfumo na uwekezaji wao unajulikana, na wakifanya makos aanaweza kulala jana tajiri akaamka kesho amefilisika mazima. na hao matajiri wa ulaya wangekuwa africa huku ambako tunaishi kama kuku wangekuwa matajiri mara mbili kwasababu wasingetoa kodi na ujanjaujanja mwingiii kama ule wa kariakoo. sijui tuelezeje ili muelewe.
 
na hata akikaa nazo kule ulaya, asipotumia akili vizuri, ataishia jela na pesa watanyang'anya.
Ni hatua anazotakiwa kuzichukua tena kwa haraka! Pia unawezaje kukusanya mzigo wote huo na kukaa nao ndani!!? Kwanza ni hatari sana! Wanakuja kuuchukua na jengo linatiwa kiberiti watu wanapita hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…