Ukiwa safarini ni jambo gani huwa hupendi litokee katika safari yako?

Sipendelei watu wanaopenda kula kula hovyo, kusinzia na kunilalia Begani, mizigo mengi n.k.
 
Sipendi kuona dereva anaendesha polepole sipekama utafikiri trekta, Uzuri wa safari gari itembee haswaaa! Sipendi kukaguliwa tiketi kila wakati. NIKIPANDA DENGE NITAKUJA KUTOA DUKUDUKU
Mimi pia sipendi basi lisilokimbia sana napenda yanayokimbia hasa
 
Sipendi kuona nimekaa siti moja na pisi Kali halafu inasoma biblia.
 
Siku ukipanda eti?? Kutoka Itigi utaenda wapi na mwewe ndugu? 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…