Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Mi nashangaa mbona watu tumewapenda na kuwavumilia wafio na kitu lkn hakuna tulichopata zaidi ya dharau na kuachwa?labda wanawake wa zamani lakin kama hawa wa sikuizi uoe na huna kitu chamoto utakiona. Dharau, dharau, dharau. Vijana tafuteni maokoto ndio muoe no money no marriage bila hivo utapata tabu sana.
Kabisaaa yaaniShida wengi wanaopata wenza wakiwa kwenye kujitafuta, mkanda umechoka kiatu kimeisha soli, mwanamke yupo na wewe tu, siku ukipata ukavaa kiatu mchongoko unaona hakufai tena, sio hadhi yako.....
Formula yake ni ngumu. Kila mtu apambanie mstari wake.
Shida wengi wanaopata wenza wakiwa kwenye kujitafuta, mkanda umechoka kiatu kimeisha soli, mwanamke yupo na wewe tu, siku ukipata ukavaa kiatu mchongoko unaona hakufai tena, sio hadhi yako.....
Formula yake ni ngumu. Kila mtu apambanie mstari wake.
Huwa niko hivyo, haya mambo hayana kanuni maalumu.Shida wengi wanaopata wenza wakiwa kwenye kujitafuta, mkanda umechoka kiatu kimeisha soli, mwanamke yupo na wewe tu, siku ukipata ukavaa kiatu mchongoko unaona hakufai tena, sio hadhi yako.....
Formula yake ni ngumu. Kila mtu apambanie mstari wake.
Naona umepindua meza mtibeliSasa kama alikataliwa na wazuri wewe ndio ukamhurumia kwa ujinga wa akili yake unategemea nini?
Pili, wapo wanawake ambao ni kweli mmeishi tangu wakati wa shida lakini baada ya kufanikiwa yeye anatumia kigezo hicho kutaka kukuendesha kwamba bila yeye asingefika huko. Jambo ambalo pia sio sahihi.
Hata mimi Mwanamke wa hivyo ninamuacha mapema tuu.
Hakika umenena vyema Sana mkuu, nakazia ujumbe wakoTatizo wakati wakujitafuta ndio unaempenda sana na kumuona anafaa kua mkeo ndio huwa anakuachia maumivu makali. Hasa kama mlipendana mkiwa chuo baada ya kumaliza chuo usipopata kazi yeyote yakukuingizia chochote ndipo utaona rangi zake halisi.
Wanawake wengi ni wabinafsi, wakiona kwako mbele Giza watavumilia mwishowe wanakimbia. Na baada ya kukimbia haipiti miaka 2 mpaka 3 utaanza kupata nafuu ya maisha, maana kipaumbele chako itakua nimaisha Yako mapenzi utasema basi.
Jambo lamsingi ukipata uhakika wakula vizuri, kuvaa vizuri na sehemu nzuri yakulala ndio utafute mwenza hasa Kwa wale wasomi.
Tofauti na hivyo tafuta binti ambae kaishia lasaba atakuvumilia Kwa Kila Hali, tofauti nahawa nguchiro waliomaliza chuo nawao wanandoto zao za kuishi maisha mazuri nakupata bwana mwenye nyumba, gari na kazi nzuri au biashara nzuri.
Ningumu Sana kupata nguchiro aliemaliza chuo kikuu au diploma akawa mvimilivu wa shida zako na zake.
Mkuu Hakuna kitu kisicho na formula katika hii DuniaJadilianeni mapenzi, ndoa & mahusiano kwenye software wekeni sheria, aminishaneni tips zenu na mengn mengi lkn huku mtaani mapenzi hayana formula
Very sad indeed 😥Kuna muda wanaume tunafanya mambo ambayo yanawainua wao na kutudidimiza sisi na mwisho wa siku hali inakuwa mbaya kwetu.
Kuna jamaa alikuwa anamlipia ke wake hela za vikoba na michezo, anatoboka haswa kila wikiendi akiamini yupo sehemu salama, ke kaja kupokea hela kafungua biashara kamuacha mwamba anasema sio type yake. Matukio ni mengi sana.
Kama mapenzi yamekwisha kubali tu halikua fungu lako songa mbele lakini ukishajiwekea mawazo kwamba ni sharti ukute kila kitu kipo mezani we ufike na kuanza kula tu hapa hakuna tofauti na kufanya biashara ya ukahaba.Shida wengi wanaopata wenza wakiwa kwenye kujitafuta, mkanda umechoka kiatu kimeisha soli, mwanamke yupo na wewe tu, siku ukipata ukavaa kiatu mchongoko unaona hakufai tena, sio hadhi yako.....
Formula yake ni ngumu. Kila mtu apambanie mstari wake.
Sijakuelewa hata hebu andika tenaKama mapenzi yamekwisha kubali tu halikua fungu lako songa mbele lakini ukishajiwekea mawazo kwamba ni sharti ukute kila kitu kipo mezani we ufike na kuanza kula tu hapa hakuna tofauti na kufanya biashara ya ukahaba.
Kukubali kuwa na mtu nyakati ambazo hayupo vizuri kifedha sio guarantee ya kusema hamtokuja kuachana uko mbeleni ivyo ukiamua kubaki nae kwa hali yake iyo iyo basi uongozwe na upendo wako kwake sio matarajio ya kufikiri akitoboa uko mbeleni ni sharti unufaike pesa zake.Sijakuelewa hata hebu andika tena
umeeleweka sana naomba kuuliza watibeli ni watu gani wakulungwa au vp na vo father una umri gani taikoni kwenye 60+ au vp una busara sana unaoneka
Sahihi Mkuu, japo binafsi sio muumini kabisa wa huo mfumo wa 50*5050*50
Ni nzuri lakini sio katika Familia
Kwenye Familia hakuna hiyo kitu.
Ila kwa Watu wasio waungwana hata mimi Kama Baba nitawafunza mabinti watekeleza 50*50 kwa wanaume wa wasiopenda Haki.
Baadhi ya wanaume hutumia mfumo dume kudhulumu haki za Wake zao na watoto. Jambo ambalo sisi kama Watibeli hatulikubali na binti zetu tumewafunza kudili na Watu wa aina hiyo kwa namna ambayo itakuwa fundisho kwa wengine.
Mfumo dume ni mzuri na ndio unaotumika hata kwetu Watibeli lakini mfumo dume unaozingatia haki za wanafamilia.
Mzee wangu, shikamoo!Ni kweli, ndiyo maana Wazee wengi wa zamani tulioa tukiwa angali Vijana wadogo
Ndiyo maana tuliweza kuwa na familia ya watoto 10 hadi 8
Mapenzi & mafanikioMkuu Hakuna kitu kisicho na formula katika hii Dunia
Ndio hivyo ndio maana tunapaswa kuishi nao kwa akili. Jamaa ilimuumiza sana lakini ile biashara haikudumu na mwanamke akataka kurudi akakuta mwamba tayari ameshaoa.Very sad indeed 😥
😂Jamii Garden
Ni kweli kabisa mkuu sasa mbona bwana mtibeli Robert Heriel Mtibeli analipinga hili?Nadhani mabadiriko ya Sayansi na Teknolojia vimechangia sana.
Miaka yetu hata yale mafunzo ya Jando yalisaidia sana kufanya Vijana wa kiume kukuza mtazamo wao.