Ukiwaambia kitu baadhi ya wazazi hakifanikiwi

Umeamua kumtukana mama ako mzazi Kuna hizi kauli "my mama raise me"" my mom praying for me"" Nina baraka za mama""

Mambo ni mengi muda ni mchache Ila mama ndie mtu Alie kuzaa kwa uchungu alijinyima Sanaa kukutunza na kukukirimu ulipo kua kichanga leo unasema ana gundu

Furaha yangu ni kufanikiwa na nikazungukwa na my family iz around here & there..

#YOLO
 
UKO SAWA SAWA.
 
Kwahiyo daddy yuko wapi......😊

Yupo nyumbani

Ila ndani ya fensi kuna two houses moja anakaa my mom and her grand daughter and grand son

Na nyingine anakaa our father with his stepson .

Father umri ni 68 yrs mom 56

Mzee anaga kelele tangu akiwa kijana mpaka anazeeka yupo hivyo mpole Sana kiukweli .

Sasa kinachotekea huyo mama anaanzisha vita kila siku .
 


Unazingua

Sisi tunaishi kwa ushirikiano tangu tukiwa watoto mpaka tumekuwa.

Mama anakuambia umchukie baba yako , anakuambia baba yako mbaya sasa huyo anakuwa anakufundisha nini.


Mimi nampenda mama yangu that is way nimemkatia bima ya kutibiwa hadi ulaya .

Namtunza and I give her w everything Ila nachochukia ni yeye kumchukia baba yetu na kufundisha chuki.
 
Kama sana!
 
Ila bichwa komwe
 
Kwanini wanakaa separate?
 
Mimi nina kiherehere cha kushare mipango yangu na ndugu, itabidi nifunge niweze kufunga bakuri ila mimi si kwamba haifanikiwi ni kwamba nikisha share nao, wanaanza pigia hesabu ela nitakayopata na wao wanaanza kujiandaa na mipango yao.
Mtua anakuwa anakuuliza inaendeleaje kumbe ana mpango wake. Kuna mmoja nilishare naye deal langu nashangaa 2 weeks ago ananipigia ooh nataka kununua boxer ila mimi nina laki tano, wewe ukiniongeza milioni moja la laki 9 sio mbaya. Mwingine naye kaja na mipango ya biashara.
Yani hiki kiherehere changu Mungu anisaidie nikome maana najiapiza naacha ila siachi.
 
Maisha niliyo nayo sasa, ni majuto tupu. Sio kila kitu mzazi ashirikishwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…