Ukiwaambia kitu baadhi ya wazazi hakifanikiwi

When nilipogundua haya, it was hard pill to swallow. Nilikuwa siamini, but then nilikaza moyo nikakubaliana.
Huwa inauma sana haswa pale wewe ndie uleikuwa ukiwaamini
 
Kuamini unafanikiwa/kufeli sababu umemwambia mtu jambo fulani nayo ni ujinga mwingine. Mambo yako yataenda/kukwama tokana na juhudi zako. Mtu baki hana uwezo wa kukwamisha mambo yako kwa bad energy sijui uchawi na nadharia zingine za kufikirika labda aingilie mipango yako physically au akakuchongee huko mambo yakwame.
 
Chukua soda...nalipa mimi, ila mwakani
 
Yaani nimekupenda bure, kuna wanaume wengine mke muombaji yeye kazi yake kupeleka maneno Kwa mama yake na dada zake huyu mwanamke muda wowote nikuomba hata sioni Cha maana, ukiona hivyo huyo alishatekwa kama nyumbu wa Serengeti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…