Ukiwaambia kitu baadhi ya wazazi hakifanikiwi

Huwa nikiamua kusema ,nasema popote pale na jambo langu nalifanikisha vizuri tu ,labda niamue kulikatisha mwenyewe tu.
Watu wanalosa maarifa sahihi na juhudi katika mambo yao alafu akifeli wanasingizia mama zao kwamba wana negative energy.

Hizi mambo ni kutafuta mtu wa kumlaumu tu,jambo la msingi ni juhudi sahihi pamoja na maarifa sahihi yanayoweza kukufikisha kule utakako.

Habari za mama ni uongo ambao hauna maana yoyote ile.
 
MKuu hakuna mantiki ya kuanza kuchunguza mapungufu ya wazazi,kuna faida gani juu ya hilo ?

Kwa saba Binadamu wote tuna mapungufu yetu kibao na mzazi anaingia katika binadamu hao hao.

Kama mtu anaweza kuishi vizuri na watu wengine wenye mapungufu basi vipi ashindwe kuishi na mzazi wake aliyemzaa ?

HAkuna haja ya kutaja mapungufu ya wazazi kwa sabbu mapungufu ndio ubinadamu wenyewe,badala yake tuhesabu mema yao.

Mzazi mbaya ni yule ambaye alitupa mtoto chooni akamuua.

Kama mtu amekuzwa na wazazi wake mpaka amekuwa mkubwa,amesomeshwa amefaulu,anapumua eti leo aseme negative enerygy ?

Hiyo negative energy ilikuwa wapi isimuathiri mtoto ikamuachs mpaka akuee.
 
Wengine hata huyo wa kumshirikisha tu hatuna, tunafeli kwa makosa yetu wenyewe.
Kabisa mkuu,watu wanatafuta sehemu ya kuangushia lawama.

Sasa wameamua kuja kumlaumu mama.
Wengine wanalaumu serikali n.k

Ila kiukweli sis wenyewe ndio tunakosea sana katika mambo yetu,papara kibao na kutaka mambo ya haraka haraka wakati mazingira yanataka taratibu taratibu
 
Kabisa mkuu , huu ni ujinga tu ,ila kwa jinsi miaka inavyokwenda watu wanazidi kujitambua.
 
Mkuu hizo ni dhana tu ambazo hazina uhalisia wowote ni kama baadhi y imani za kidini tunazomezeshwa.

Hii ni dunia ya vitendo na usahihi,wengi wetu sio watendaji wa vitendo sahihi na hatuna maarifa yanayotakiwa.


Kama wazazi wana nguvu iliyokuwa hasi(megative energy) kwa nini nguvu hiyo has haikuweza kumusthiri mtoto na badala yake ikamuacha mtoto mpaka anakuwa mkubwa ?
 
Kabisa mkuu , huu ni ujinga tu ,ila kwa jinsi miaka inavyokwenda watu wanazidi kujitambua.
Mmh naona kama ndio watu wanazidi kutojitambua hivi mkuu.

Maana sasa hivi kuna hizi taarifa za mambo ya spiritual sijui natural power sijui yaani ndio haya yanakuja na tunayaona hapa jf.

Lakini yooote hayo mkuu ni kwa sababu ya pesa,watu wanadhani pesa ni rahisi rahisi tu kupatikana.

Wanawekeza kichwa kichwa alafu wakishakula za uso wanatafuta wa kumtupia lawama.
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ sawa mkuu
 
Amini amini nawaambia unaweza kulea mtoto kwa taabu akafikisha hadi umri wa kujitegemea . Laiki katika njia zako za kutafuta maisha zaidi unajikuta kumdhuru mwanao mwenyewe nakupelekea kumuua. Hii ikitokea huyo mtoto kawahi kupona hajafa ukimwambia mzazi aliye kulea tangu utoto hawezi kukudhuru lazima msielewane.

Inatokea mzazi kumdhuru mtoto kama umekulia Osterbey inaweza kukusumbua kuelewa. Ila kama umekulia Ifakara , kongwa Chalinze , Lugalawa huko au Ngudu au Katoro au Bariadi unaweza kuelewa .


Location. Kihonda kwa makunganya
 
Sasa hapo tunakupongeza , binafsi jambo langu lolote uwa simwambii mtu ata wife anaelewa Hilo mpaka likikamikika ndo watajua labda masuala ya Mali hizo namuelekeza , fedha benki , mifuko ya kijamii na madeni Hilo ndo wanajua mengine yaliyo kwenye progress big nooo
 
Ila watoto wengine bure kabisa!we una uhakika huyo ni baba yako?use your brain....mama akisema jambo muelewe mpaka mpigwe makonzi ndio muelewe?
Mjinga mwingine huyu hapa

Hizi ni dalili za Kimalaya inaonyesha hata kwenye ndoa yako hakuna uaminifu na kuna watoto/mtoto wa nje jamaa analea

Pole kwa mwamba aliyekustili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…