Kuoa ni sawa na kutupia mkeka kubeti mkuu, asilimia za mkeka kupasuka ni kubwa mno , binafsi nitaoa badae mno umri ukishanitupa mkono kabisa yaani nikishaona sina cha kupoteza😁😁😁Wanaona ndio kipaumbele Chao mkuu....alafu kwann jamii inaamini usipokuwa na mke una matatzo na wengine ufika mbali nakuita wasioa mashogaa😔
Ivi ni kwanni uhamasishaji wa kuoa kwa Tanzania umekua mkubwa mno kuliko kupeana michongo ?
Mim wadogo zangu wote wameoa ,kila siku braza tunajuta hazikauki , huwa nawaambia tu madogo niliwaonya ila hamkusikia.Ni Kwa sababu waliowa Wengi wao wanataka na wadogo zao waingie katika huko mtego.
Mimi binafasi huwa kspendelei kusema mengi sana kuhusu ndoa na wanawake..
Na kadiri unavyozidi kuvijua Na kutambua vitimbi Na tabia za wanawake ndo jinsi unavyokikaribia kifo
Sasa mbona hata wanawake hawana mpango wakuhamasisha , wanao amasisha mara nyingi ni sisi wanaumeKwa wanawake kuolewa ni mchongo.
Kwa sisi wanaume kuoa ni liability
Kwa wanawake kuolewa ni mchongo.
Kwa sisi wanaume kuoa ni liability
Sure mkuu ila vilio na matukio ya kutisha kwenye ndoa vinapozidi inabidi iwe jumuishi mkuu😁😁Huwa naona hiz mambo hutegemeana sana na uwezo pia mtazamo wa mtu binafsi zaid na si jumuishi
Ndoa -na ongezeko la singo Mama haya mambo yamekaaje?
Ongezeko la single Mothers ni matokeo ya kuna Uhuru Mwanamke aifanye ngono kama starehe
Ulitumia mbinu gani kumpata mke mzuri Kama Mama Mtibeli ?
Nimependa chemistry mlionayo since waybck hadi Leo .
Hii mikoa inayoongoza kwa talaka ni nadra sana kusikia matukio ya kikatili kwenye ndoa, njoo hiyo mikoa ya wagalatia sasa😁
Ok Hongera Sana , Mungu ni mwema Sana she is seem to be smartest &brilliant Enough.Mungu tuu.
Picha lilianza wala sikuwa na mpango wala kujua kama ningefika naye hata mwezi. Ilikuwa ni eat and run
Lakini alikuwa na sifa nyeti ambayo kwenye Wanawake mia wa siku hizi mmoja ndio anayo
Sifa hiyo ndio ilinifanya nianze kumfikiria
Hii mikoa inayoongoza kwa talaka ni nadra sana kusikia matukio ya kikatili kwenye ndoa, njoo hiyo mikoa ya wagalatia sasa😁
Mimi pia nitaoa mkuu ila baada ya miaka 30 mbele nikifa kabla ya hapo basi .Kuoa imeshakuwa "Risk sana now days "
Ila sifikirii kutokuoa ntaoa
Mimi pia nitaoa mkuu ila baada ya miaka 30 mbele nikifa kabla ya hapo basi .
Geita😂Hii mikoa inayoongoza kwa talaka ni nadra sana kusikia matukio ya kikatili kwenye ndoa, njoo hiyo mikoa ya wagalaia sasa😁
Miaka 30 mbele kutoka leo mkuu😁Ukiingia 3rd floor au after 30 yrs ?