Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #161
Mkuu kwa heshima na taadhima nashukuru sana kwa hili Andiko Ila tafadhari mkuu next time uje na nondo za kutosha km kawaida yako sio unatuwekea summary tu ungetushushia mapoint hapa wengine tuchukue notice za hao mabechala Sugu wanaogoma kuoa sababu wamewajua wanawake kwa asilimia 100 na 1
Yanini kununua n'gombe mzima wakati nikitaka nyama zimejaa tele buchani
Basi ukipata wasaa Mkuu tumwagie hizo nondoHaina shida Mkuu.
Sikutaka kumchosha mtu wakati huu
Hoja yako hii wala sikubaliani nayo, bila shaka wakati ni mwalimu mzuri, ukipata maisha marefu utaikumbuka hoja hii na utakubaliana na nilichojadali awali.
Nikutakie heri
Basi ukipata wasaa Mkuu tumwagie hizo nondo
Yaani NDOA NI UTAPELI na anaetapeliwa ni mwanaumeNi kweli. Na ni kwa muktadha huo, ndiyo maana mabaharia wanahitimisha kwa kusema kuwa " ndoa haina faida kwa mwanaume".
viongozi wa dini ni wanadamu wenzetu, hatuwezi kuwatazama kama kilinganisha cha memaMfalme sulemani alisema kadri unavyokua na maarifa ndio unakua na huzuni. Ukiyajua ya viongozi wa dini utaacha kwenda kusali
Mkuu, tabia njema na dini hazikati kiu kwenye 6 kwa 6 ambacho ndiyo kiini cha ndoa. Msingi wa ndoa ni kuchakatana, ndiyo maana hanithi hafungishwi ndoa.Tabia njema na dini, hizi ndio sifa za msingi ambazo zikitimia hizi kadhia inakuwa imeisha.
Nina mke na mpango wangu ni kuwa na Wake Watatu
Sema Inshallah
Hahaha watatu utatuweza?
Kuwa makini sana na uhakikishe unatumia akili kwelikweli kwa huyo uliyenae kwanza kabla hujatafuta wa pili
Kujua sio kosa hata kidogo
Sema mda mwingine unafumbia macho hata kama unajua
Kwan ukisema kila kitu useme ndo unajikuta ndoa au mwanamke una achana naye
Imagine sisi hatujuagi tunataka nini 😆Natumia akili zenu kuishi nanyi
Nikitumia zangu hatutaelewana😀😀
Imagine sisi hatujuagi tunataka nini 😆
Ila tukikosa tunachotaka panachimbika hahaha
Kabisa lo hakika hayana fomula
Akili the brainKila mtu ashinde mechi zake😁😁
Smahani mkuu, huwa sielewi maana ya upweke. Unaweza kunielewesha tafadhali.Tunaoa kwa sababu ya upweke,basi.
Zaidi ya hapo hakuna faida yoyote ya kuoa.