Ukiwajua wanawake, ni watu poa sana

Nina experience ya nilichoandika baada ya kupitia magum ktk ndoa kwa mda mrefu.

Nilikubali kujifunza na kuanza maisha mapya hivo nimeshare nachokijua.
 
Mmeanza lini mapenzi yenu...
 
Kiumbe ambacho umeambiwa uishi nacho kwa akili inamaana hakiko stable... kwahiyo wewe fanya unavyofanya as long as unafurahia matokeo ya hayo ufanyayo ila usiweke matarajio makubwa kwa maana iko siku isiyojulikana atakuja akushangaze.

Wanawake ni viumbe smart sana na movements zao huwa mara nyingi ni zauhakika kwahiyo kuwa makini kabla hujatiwa tattoo kwenye moyo wako 😅😅😅.

KAA KITAALAM.
 
Jitahidi uwajue yaani bado sana
Kapeace mwalimu wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…