Ukiwajua wanawake, ni watu poa sana

Labda shetani ndio anaweza kusema kuwa anamjua mwanamke vizuri maana walishawahi kufanya kikao kazi/tendaji lakini si binadamu mwingine yoyote ikiwemo mwanamke mwenyewe. Rafiki yangu X afanya kazi mgodini kajaliwa kipato kikubwa na ni mstaarabu sana katulia lakini mke kaenda kutembea na MC X maarufu. Bila vikao virefu na kulialia ungesikia MC maarufu kala Chuma.
 
Sasa we rogwa kumfanyia haya yote alafu ukute kapewa dawa za kienyeji na mganga wake fake uone atavyofurahia kuwa kakuweza na kitakachofuata ni kukupiga matukio
 
Hujawahi kukutana na visirani bin pasua kichwa wewe. Kwanza hivyo ulivyoandika ni vya watoto wa sekondary
 
Wanawake wanatumia wanaume kujikinga na shida za dunia akijiweza hakuna rangi utaacha ona...

Ni upumbavu sana kuweka jambo kuu ni mwanamke maishani
 
Limbwata
 
Wanawake wanatumia wanaume kujikinga na shida za dunia akijiweza hakuna rangi utaacha ona...

Ni upumbavu sana kuweka jambo kuu ni mwanamke maishani
Kila mtu huya-experience maisha kwa namna yake, hivo hatuwez fanana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…