Ukiweza kufanikiwa Joburg basi wewe ni Mpambananji na unatakiwa upewe maua yako

MzEe baba Unaiachaje delft hapo?? Nilikula visu zaidi ya saba sikufa mpaka leo naamini kama mungu hajapanga haufiii....sema capetown pabaya kama hauna hela baada ya kuhamia seapoint sijawahi kuona ujinga huo mpaka naondoka SA.
Delft hunipeleki hata kwa bunduki😀,, wanaokaa kule wengi wamepinda hata wabongo,, mahomboy kibao tushawapoteza kule,,, yani mpaka dukani pia ukitaka kwenda uende na dada yao kidogo watamuonea aibu dada yao, ila ukiwa peke yako wanakurukia mchana kweupe jua linawaka 😀
 
Kwaju umtata😂
 
huu uzi mbona kama kila ntu kafika J'berg!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kabla ya comment yako hii.

Kuna yupo kazungumzia GOMA(DRC), mwingine Chang'ombe ya Dodoma, pia Mafiat ya Mbeya. Alaska, El Salvador.

Bila shaka hao hawajafika Joberg
 
Mbeya hakuna kitu , unawazungumzia wapiga nondo? Nimekaa Mbeya kuko shwari sana, hapo mafiati nimekesha sana Mbeya Carnival sijawahi kuona vurugu zozote
 
Goma mtoto sana kwa Jo burg watu wanaokufa Jo burg kwa mwaka Goma haifati
Sas kufa watu mdo mji mzuri ama ni nn mbon huna point ya maan mtoa mada. Tupe point za msing kivp hio Jo burg unatoboa kilaisi kwmb inshu gan nyepes ukifany unatoboa na sio habr za kupigwa ndole
 
Kuna ile lokshen usawa wa checkers hyper....ah ah ah ah ni hatari mtoto mdogo anakushikia machete
 
Jamaa anachokisema ni kweli sema kuna watu wanabisha tu...mtu aliefanikiwa SA kwa ujumla sio joburg tu..anauwezo wa kuishi sehem yoyote duniani na akafanikiwa...maisha ya SA ni ya upambanaji sana. Binafsi huwa sijilaumu kuzamia lile chaka japo ilikuwa ni utoto na utukutu wangu lakini nilijifunza mambo mengi sana kiufupi ilikuwa ni shule tosha na sijawahi kufeli maisha from then.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…