Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Akitoa matumizi uchelewi kusema natembea nae, tabu tupu
Na mara nyingi huwa hivyo!
Sababu mtalaka hatongozwi wala kuimbishwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akitoa matumizi uchelewi kusema natembea nae, tabu tupu
Hapo kwenye kutuma hela ndio patamu..Tena tuma Naya kutolea. Yaan sitaruhusu ukae na Mtoto nitume Hela Kwko..mamaweeee never. Nimetembea na wanawake kadhaa. Unaona dalili ya utafutaji pesa vs matumizi inakera. Unaishi na Mtoto ukisubiri ATM ITEME. ingekuwa serikali inakupa sawa maana serikali IPO tuu. Baba wa Mtoto aweza akafa,hutaiwhi na mwanao??Kumekuwa na tabia ya wanandoa kuzaa nje, inawezekana kwa kukusudia au kwa bahati mbaya.
Wakati nilipokuwa mdogo, kuna wakaka wawili walikuwa mapacha wanaishi na mama yao ambaye alikuwa jirani yetu. Wakati huo, hao wakaka walikuwa na miaka 25 hivi kwa kukadiria. Walikuwa warefu, wamejazia, na weusi kiasi; mnavyojua tena ulevi wa warembo wa mjini, wakashawishika, na dada mmoja akazaa na jamaa mmojawapo.
Yule dada alifikiri kuzaa na jamaa, angepata ndoa; Mambo yakawa tofauti. Basi yule dada akamtelekeza mtoto kwa mwanaume. Mwanaume naye akampa mama (bibi wa mtoto) yake amlelee mtoto.
Unavyojua tena, bibi wa mtoto alikuwa bado anapenda ujana. Akawa anamtesa sana yule mjukuu; yule mtoto akawa anakuja nyumbani kwetu, nampatia chakula, mpaka akawa rafiki yangu.
Baada ya mwaka mmoja, sisi tukawa tumeama ule mkoa, imepita kama miaka miwili hivi, tukapata habari yule mtoto alishafariki. Niliumia sana, nikajua chanzo ni wao kutokuwa karibu na mtoto.
Kwa sasa, yule bibi yake pia alishafariki.
Nilichojifunza; mtoto yeyote unayezaa nje ya ndoa alelewe na mama yake mzazi; we uliyemzalisha, jukumu lako ni kutuma hela ya matumizi tu, ili mtoto apate huduma bora.
Na mara nyingi huwa hivyo!
Sababu mtalaka hatongozwi wala kuimbishwa
Kama familia yako utakuwa umeiwekea msingi imara, haitakusumbua sanaNa ndio unakuta mkeo hawezi kukuamini na kukufurahia tena ukishazaa nje!
Mnajeruhi mioyo ya wake zenu!
ha ha ha haAkitoa matumizi uchelewi kusema natembea nae, tabu tupu
AiseeNa kwa nini uzae na mtu asiyeweza kulipa ada?
Sawa vipi kama ameolewa mama yake? Nitoe matumizi ya kumlisha jamaa afanye kazi ya kupasua mayai zaidi kuleta vifaranga?Kumekuwa na tabia ya wanandoa kuzaa nje, inawezekana kwa kukusudia au kwa bahati mbaya.
Wakati nilipokuwa mdogo, kuna wakaka wawili walikuwa mapacha wanaishi na mama yao ambaye alikuwa jirani yetu. Wakati huo, hao wakaka walikuwa na miaka 25 hivi kwa kukadiria. Walikuwa warefu, wamejazia, na weusi kiasi; mnavyojua tena ulevi wa warembo wa mjini, wakashawishika, na dada mmoja akazaa na jamaa mmojawapo.
Yule dada alifikiri kuzaa na jamaa, angepata ndoa; Mambo yakawa tofauti. Basi yule dada akamtelekeza mtoto kwa mwanaume. Mwanaume naye akampa mama (bibi wa mtoto) yake amlelee mtoto.
Unavyojua tena, bibi wa mtoto alikuwa bado anapenda ujana. Akawa anamtesa sana yule mjukuu; yule mtoto akawa anakuja nyumbani kwetu, nampatia chakula, mpaka akawa rafiki yangu.
Baada ya mwaka mmoja, sisi tukawa tumeama ule mkoa, imepita kama miaka miwili hivi, tukapata habari yule mtoto alishafariki. Niliumia sana, nikajua chanzo ni wao kutokuwa karibu na mtoto.
Kwa sasa, yule bibi yake pia alishafariki.
Nilichojifunza; mtoto yeyote unayezaa nje ya ndoa alelewe na mama yake mzazi; we uliyemzalisha, jukumu lako ni kutuma hela ya matumizi tu, ili mtoto apate huduma bora.
Kutokutoa huduma kabisa ni tatizo, unatoa kwa kiasi unachowezaKuna baadhi wanaopenda kuishi na Watoto wao shida inakuja pale Baba wa Mtoto anapokataa kutoa huduma.
ha ha haSawa vipi kama ameolewa mama yake? Nitoe matumizi ya kumlisha jamaa afanye kazi ya kupasua mayai zaidi kuleta vifaranga?
Kwa wanaokataa Mimba hadi Mtoto watatoaje hata hicho kidogo?Kutokutoa huduma kabisa ni tatizo, unatoa kwa kiasi unachoweza
Yeah n kweli kabisaaaaaa uchungu wa mwana aujuaye n mama tu sijui huyu n mama wa aina gani kumuachia baba mtoto!Kumekuwa na tabia ya wanandoa kuzaa nje, inawezekana kwa kukusudia au kwa bahati mbaya.
Wakati nilipokuwa mdogo, kuna wakaka wawili walikuwa mapacha wanaishi na mama yao ambaye alikuwa jirani yetu. Wakati huo, hao wakaka walikuwa na miaka 25 hivi kwa kukadiria. Walikuwa warefu, wamejazia, na weusi kiasi; mnavyojua tena ulevi wa warembo wa mjini, wakashawishika, na dada mmoja akazaa na jamaa mmojawapo.
Yule dada alifikiri kuzaa na jamaa, angepata ndoa; Mambo yakawa tofauti. Basi yule dada akamtelekeza mtoto kwa mwanaume. Mwanaume naye akampa mama (bibi wa mtoto) yake amlelee mtoto.
Unavyojua tena, bibi wa mtoto alikuwa bado anapenda ujana. Akawa anamtesa sana yule mjukuu; yule mtoto akawa anakuja nyumbani kwetu, nampatia chakula, mpaka akawa rafiki yangu.
Baada ya mwaka mmoja, sisi tukawa tumeama ule mkoa, imepita kama miaka miwili hivi, tukapata habari yule mtoto alishafariki. Niliumia sana, nikajua chanzo ni wao kutokuwa karibu na mtoto.
Kwa sasa, yule bibi yake pia alishafariki.
Nilichojifunza; mtoto yeyote unayezaa nje ya ndoa alelewe na mama yake mzazi; we uliyemzalisha, jukumu lako ni kutuma hela ya matumizi tu, ili mtoto apate huduma bora.
Utafanyaje SasaTukibaki nao tena tunakosa wakutuooa
Unaandika kama lifala fulani!? Kwani wote hupenda kuzaa nje ya Ndoa. Kuna watu walizaa nje ya ndoa kama bahati mbaya tu mathalani mtu alikuwa na mahusiano na mdada wakiwa wanasoma Chuo wakatapata mtoto na ile haikua mpango na walifanya kila jitihada kuzuia hii lakinj haikuwezekana mtoto akazaliwa. Unavyo comment ni kama mpuuzi flani aliyeharibiwa na Tadmaduni za wa magharibi..Period!Usizae nje ya Ndoa. Kila mtu analijua hilo, wengi hupuuza na kujuta baadaye. Malezi bora ni ya Baba na Mama... Mengineyo hayawezi fikia hayo! Tulieni.
Pole ndugu kwa kukereka na maneno yangu.Unaandika kama lifala fulani!? Kwani wote hupenda kuzaa nje ya Ndoa. Kuna watu walizaa nje ya ndoa kama bahati mbaya tu mathalani mtu alikuwa na mahusiano na mdada wakiwa wanasoma Chuo wakatapata mtoto na ile haikua mpango na walifanya kila jitihada kuzuia hii lakinj haikuwezekana mtoto akazaliwa. Unavyo comment ni kama mpuuzi flani aliyeharibiwa na Tadmaduni za wa magharibi..Period!