Ukizaa nje ya ndoa; muache mtoto alelewe na mama yake mzazi

Ukizaa nje ya ndoa; muache mtoto alelewe na mama yake mzazi

Kwani mtoto ni WA nani ? Ukizaa nje Bora uamue kukaa single mother maisha yako yote,but ukitaka nikuoe ujue kamwe sitafanya kazi ya kulea mtoto wa mwanaume mwenzangu huku yeye akienjoy maisha peaceful na family yake huko.
 
Unaandika kama lifala fulani!? Kwani wote hupenda kuzaa nje ya Ndoa. Kuna watu walizaa nje ya ndoa kama bahati mbaya tu mathalani mtu alikuwa na mahusiano na mdada wakiwa wanasoma Chuo wakatapata mtoto na ile haikua mpango na walifanya kila jitihada kuzuia hii lakinj haikuwezekana mtoto akazaliwa. Unavyo comment ni kama mpuuzi flani aliyeharibiwa na Tadmaduni za wa magharibi..Period!
Acha kutoa povu. Hakuna kuzaa bahati mbaya. Ni ni ujinga na uhuni au tamaa au kuendekeza mapenzi ya kijinga . Wadada wakiwa chuo Huwa wajuaji saaana ukimshauri au ukimuonya anakuona kama mchawi, maisha yakimpiga akiona ameshapata hadhi ya single mother ndo anajifanya kuleta busara za ajabu ajabu. Pambana na matokeo ya kazi zako
 
Wanaume mjue, hakuna atakayempenda mtoto kama mama yake!!!!!!!! (Unless wamama wachache wenye matatizo yao)

Acha mama alee mwanae.

Mambo ya kutia wake zenu dhambi acheni.

Mama yako au ndugu zako hatompenda mwanao kama ambavyo angependwa na mama yake

Afterall kila mtu apambane na uterus!!! yake
Inategemea na mtu na mtu. Mimi nilimchukua mtoto wa ndugu yangu akiwa na miezi 6, sasa hivu ana 5.8, huyu dogo handsome boy hata hataki kwenda kwa mama yake. Anasoma shule nzuri ana afya nzuri kabisa. Tunapendana balaa
 
Inategemea na mtu na mtu. Mimi nilimchukua mtoto wa ndugu yangu akiwa na miezi 6, sasa hivu ana 5.8, huyu dogo handsome boy hata hataki kwenda kwa mama yake. Anasoma shule nzuri ana afya nzuri kabisa. Tunapendana balaa
Wa ndugu yako sawa kabisa. But ki uhalisia haikai sawa mi nianze kulea mtoto wa jamaa aliekua ana mgonga ambae ni mkewangu Hadi akamzalisha Kama haitoshi aka mdump na kitoto, alafu mie nioe, nilee na mtoto !!!?? You guys are not serious
 
Back
Top Bottom