Ukizaa nje ya ndoa; muache mtoto alelewe na mama yake mzazi

Hapo kwenye kutuma hela ndio patamu..Tena tuma Naya kutolea. Yaan sitaruhusu ukae na Mtoto nitume Hela Kwko..mamaweeee never. Nimetembea na wanawake kadhaa. Unaona dalili ya utafutaji pesa vs matumizi inakera. Unaishi na Mtoto ukisubiri ATM ITEME. ingekuwa serikali inakupa sawa maana serikali IPO tuu. Baba wa Mtoto aweza akafa,hutaiwhi na mwanao??

Utaratibu wa kutoa pesa za matumizi sio sahihi kabisa.

Wanawake waaina hii hukaa na kuendekeza uvivu,
 
Na ndio unakuta mkeo hawezi kukuamini na kukufurahia tena ukishazaa nje!

Mnajeruhi mioyo ya wake zenu!
Kama familia yako utakuwa umeiwekea msingi imara, haitakusumbua sana
 
Kuna baadhi wanaopenda kuishi na Watoto wao shida inakuja pale Baba wa Mtoto anapokataa kutoa huduma.
 
Sawa vipi kama ameolewa mama yake? Nitoe matumizi ya kumlisha jamaa afanye kazi ya kupasua mayai zaidi kuleta vifaranga?
 
Kweli kabisa ,kuna wababa wengine wanakimbilia mahakamani kudai custody wakati malezi ziro,wapo wengine hasa vijijini wakiachana na wake zao wanawang'ang'ania watoto mwisho wa siku wanaanza kuwabaka inasikitisha sana
 
Yeah n kweli kabisaaaaaa uchungu wa mwana aujuaye n mama tu sijui huyu n mama wa aina gani kumuachia baba mtoto!
 
Usizae nje ya Ndoa. Kila mtu analijua hilo, wengi hupuuza na kujuta baadaye. Malezi bora ni ya Baba na Mama... Mengineyo hayawezi fikia hayo! Tulieni.
 
Usizae nje ya Ndoa. Kila mtu analijua hilo, wengi hupuuza na kujuta baadaye. Malezi bora ni ya Baba na Mama... Mengineyo hayawezi fikia hayo! Tulieni.
Unaandika kama lifala fulani!? Kwani wote hupenda kuzaa nje ya Ndoa. Kuna watu walizaa nje ya ndoa kama bahati mbaya tu mathalani mtu alikuwa na mahusiano na mdada wakiwa wanasoma Chuo wakatapata mtoto na ile haikua mpango na walifanya kila jitihada kuzuia hii lakinj haikuwezekana mtoto akazaliwa. Unavyo comment ni kama mpuuzi flani aliyeharibiwa na Tadmaduni za wa magharibi..Period!
 
Pole ndugu kwa kukereka na maneno yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…