Bornventure
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 529
- 523
Acha kutoa povu. Hakuna kuzaa bahati mbaya. Ni ni ujinga na uhuni au tamaa au kuendekeza mapenzi ya kijinga . Wadada wakiwa chuo Huwa wajuaji saaana ukimshauri au ukimuonya anakuona kama mchawi, maisha yakimpiga akiona ameshapata hadhi ya single mother ndo anajifanya kuleta busara za ajabu ajabu. Pambana na matokeo ya kazi zakoUnaandika kama lifala fulani!? Kwani wote hupenda kuzaa nje ya Ndoa. Kuna watu walizaa nje ya ndoa kama bahati mbaya tu mathalani mtu alikuwa na mahusiano na mdada wakiwa wanasoma Chuo wakatapata mtoto na ile haikua mpango na walifanya kila jitihada kuzuia hii lakinj haikuwezekana mtoto akazaliwa. Unavyo comment ni kama mpuuzi flani aliyeharibiwa na Tadmaduni za wa magharibi..Period!
Na hata mkiolewa mkiwa nao mnawapelekea bado papa waliowazalisha kwa kisingizio mmeenda kufata matumizi ya mtoto.Tukibaki nao tena tunakosa wakutuooa
Inategemea na mtu na mtu. Mimi nilimchukua mtoto wa ndugu yangu akiwa na miezi 6, sasa hivu ana 5.8, huyu dogo handsome boy hata hataki kwenda kwa mama yake. Anasoma shule nzuri ana afya nzuri kabisa. Tunapendana balaaWanaume mjue, hakuna atakayempenda mtoto kama mama yake!!!!!!!! (Unless wamama wachache wenye matatizo yao)
Acha mama alee mwanae.
Mambo ya kutia wake zenu dhambi acheni.
Mama yako au ndugu zako hatompenda mwanao kama ambavyo angependwa na mama yake
Afterall kila mtu apambane na uterus!!! yake
Wa ndugu yako sawa kabisa. But ki uhalisia haikai sawa mi nianze kulea mtoto wa jamaa aliekua ana mgonga ambae ni mkewangu Hadi akamzalisha Kama haitoshi aka mdump na kitoto, alafu mie nioe, nilee na mtoto !!!?? You guys are not seriousInategemea na mtu na mtu. Mimi nilimchukua mtoto wa ndugu yangu akiwa na miezi 6, sasa hivu ana 5.8, huyu dogo handsome boy hata hataki kwenda kwa mama yake. Anasoma shule nzuri ana afya nzuri kabisa. Tunapendana balaa
Mnajifanya Malaika Chini ya Jua kuhukumu watu.! Kama wewe hujazaa nje ya ndoa basi shukuru Mungu kwa hilo lakini pia waliozaa nje ya ndoa wanshukuru Mungu kwa baraka ya mtoto.Pole ndugu kwa kukereka na maneno yangu.
Hamida kama ipo ipo tu..!!Tukibaki nao tena tunakosa wakutuooa
πππMnaelewaga sasa?
Pole sana... Nini kimekukera?Mnajifanya Malaika Chini ya Jua kuhukumu watu.! Kama wewe hujazaa nje ya ndoa basi shukuru Mungu kwa hilo lakini pia waliozaa nje ya ndoa wanshukuru Mungu kwa baraka ya mtoto.
Basi wasilalamike. Wapokee kwa furahaa matunda ya kazi zao walizofanya wakiwa vyuoni na mtaani kabla ya ndoaMnajifanya Malaika Chini ya Jua kuhukumu watu.! Kama wewe hujazaa nje ya ndoa basi shukuru Mungu kwa hilo lakini pia waliozaa nje ya ndoa wanshukuru Mungu kwa baraka ya mtoto.
By any means, the child should not be a victim of your faults to experience adversitiesKuzaa nje ya ndoa Ni changamoto sana!!
Definitely!!By any means, the child should not be a victim of your faults to experience adversities