Ukizaliwa/ukizamia tu America πŸ‡±πŸ‡· tayari una asilimia 95% za kufanikiwa

Mnatutia hasira wajaaa, mfanye kutupa connection hizo.
Yaani km mie mnichukue na kuniacha hapo Atlanta, mengine ntajiongeza mwenyeweee.
Daaaaah!!!

Miji kama Atlanta siyo ya kuanzia life dada angu. Unless you're highly skilled e.g. medical doctor, software engineer etc. Na uwe na job contract mkononi.
 
Hawa ni watumiaji wa madawa ya kulevya. Wanakosa muda wa kufanya kazi na kuishia kukaa mitaani muda mwingi wakiwa hawana njia yoyote ya kuwaingizia kipato. Kwa hali hiyo utakaa katika apartment ya nani bila kulipa kodi?
Marekani na hata ulaya, maisha siyo rahisi kihivyo,tena Bora ulaya magharibi kuliko marekani
 
Huyo neighbor wako either ana special skills au mazingira ambayo siyo ya kawaida yalim favor. Siyo bure.
 
Bro,dish limeyumba!?
 
Walokole mna tabu sana,inaonekana hii chuki ya udini inakutafuna vibaya sana,angalia tu usije ukapata vidonda vya tumbo,
Ulichokiandika hapa wala hakihusiani na comment uliyoiquote!
Go out and get a life mzee ili upunguze stress zako za maisha.
 
Kijana Huku TZ miaka 26-30 wengi ndio kwanza wanajitafuta kimaisha na wachache Sana kwenye umri huo ndo wanaona mwanga Kwa maana ya kazi ya kudumu au biashara nzuri, at least ndo jamii huwaona Wana akili....Kwa wenzetu ni tofauti kabisa, Nafikiri ukizaliwa Afrika hasa kama hampo kwenye mifumo ya favour, pesa basi jua tayari uko nyuma Kwa goli mbili bila majibu, unatakiwa ukomae usawazishe iwe mbili mbili Kwanza then ndo uongeze mengine, ndio maana wengi huchelewa Sana, kwasababu Kila unachotaka kuanzisha mifumo haiwezi kukusapoti vizuri.
 
Ni kama bongo tu. Utoke Uganda uje Tz kutafuta kazi ustawi wa jamii na degree yako ya social science lazima usote. Ila kama unakuja na PhD na uzoefu wa kufanya tafiti lazima uwafunike mpaka wazawa.
Jidanganye
 
Hongereni kwa kuzamia nchi za watu iwe kihalali au isivyo kihalali, mnaenda huko mnaishia kuwa watumwa, mnakua desperate na maisha, mnatunza makaratasi ya kuishi huko na kuyathamini, badala ya kutunza fedha urudi nyumbani kwenu kuendeleza.

Dunia ya sasa iilishsbadilika sana na hata kibiashara, michongo yote ya maana ipo China na Dubai, watu wanaenda kufanya biashara wanarudi wanatoboa. Nyie mapimbi mmekalia na mawazo ya mwaka 90 kwenda kutafutia maisha Marekani, watu kama nyie ni wakuwaacha tu mkadekishwe ma vyoo huko malls na community centers Marekani mnakoshobokea. Yani kiujumla mnaonekana hamna akili.
 
Tupe connection mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…