Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #341
We kama huamini mbona ume comment?Wapumbavu tu ndio wanaamini
Sitampa mwanamke yeyote kichwa kwenye mapenzi tena, nimekoma....
Weekend Imekuwa ndefu Nipo arusha Land Rover festival kuna wakenya wamekuja hapa wana kero zao Mkenya mmoja analalamika kwa wakenya wenzake kuwa Hatompa tena mwanamke yeyote kichwa kwenye mapenzi, alichokutana nacho hatamani mwanaume yeyote afanye hicho kitu Basi me nikapita nikaenda zangu...