Optimist_Tz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2024
- 1,543
- 1,860
!
Mimi huwa nawashangaa wanawake wengine unakuta amepata Mwanaume wake muungwana Eti mke anajitia wazimu na kiharibu ndoa yake sana sababu ya meseji alozikuta kwenye simu ya mume wake inahusu mchepuko .
Are you serious?
Wanaume ni mali adimu.
Ukipata wako ambae kwa wastani anajua kutimiza majukumu yake na anakuheshimu kwa kwenda kufanyia mambo yake mbali shukuru.
Tena ongeza UTII na heshima na umuombee Kheri mume wa namna hiyo.
Huko nje wanatamani wanaume hata wa kutangulizana nae mahala hakuna.
Ukipata shikamana.
Acheni kujitia wazimu kwa kufuata mkumbo wa mitandao.
Mwisho wa siku maisha ni yako binafsi.
Na victims huwa ni wanawake always.
Mwambie huyo aelewe uhalisia wa Dunia na mambo yake.Isaya 4: 1 Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.