Uko tayari? Dar es Salaam mpya inakuja. Serikali kutwaa eneo la mita za mraba 233,000. Maeneo ya Sinza, jirani na Mlimani City, Boko, SIMU2000 kuguswa

Unajua mnaongea mambo ya kufikirika sana. Hiyo commercial real estate yenye mtaji mkubwa wa kununua na kujenga upya kata nzima ni ipi hiyo?
Tukienda kwa mfumo wa maswali kama hayo mkuu, tutashindwa kutatua changamoto nyingi sana... hilo jambo hata watumishi house mamelifanya... kuna njia nyingi za kutafuta capital.. tusiweke ugumu kwa kila jambo
 
Unajua huku huwa nasemaga Kuna watu wengi wajinga. Huyu aliyeweka hii post kaja na kitu ambacho hakipo kabisa. Ila bahati mbaya kakutana na wapo wasiojua lolote nao wanaanza kuchangia vile vile

Aliyeweka hii post alipoona imeandikwa kubadilisha muonekano wa dar, akili yake ilikua inanua zinabomolewa nyumba na kujengwa zingine. Bila kujua ni muonekano wa mradi wa BRT.

Akili yake inajua sqm200000 ni eneo moja lonabomolewa, bila kujua Hilo Ni eneo lote la mradi(pembezoni mwa barabara itapopita)
 
The road to hell is built with good intentions 🤣🤣🤣
Sawa.

But without good intention, anarchy prevail.

The thing to do is not avoid good intention because the road to hell is paved with good intention.

The thing to do is to vet good intention thoroughly so that it does not lead to hell.
 
Tumuulize mtoa mada mkuu! Nimechangia kama mpita njia anayekerwa na status quo tu mkuu sina maslahi yoyote
Hakuna kitu Kama hicho. Huyo alichoandika hakijui, huo ni mradi wa BRT ambao maeneo yatayoathrikka ni kote pembeni mwa barabara hadi mwisho wa barabara na si eneo moja la sinza kama alivyosema

Lakini ndio tunakuja kwenye common sense wewe unahisi ni rahisi kubomboa eneo la sqm200000 sinza? Hapo ndio mjadala wangu na wako ulipo.
 
Walianza na siku 2000 wakaja na shule ya msingi ubungo kimyakimya sasa wameamua kuweka wazi
 
Sawa.

But without good intention, anarchy prevail.

The thing to do is not avoid good intention because the road to hell is paved with good intention.

The thing to do is to vet good intention thoroughly so that it does not lead to hell.
Trust has eroded and for good reasons
 
Kanuni kubwa ya real estate ni location.

Ukijenga Bagamoyo halafu watu wakahitaji kuja kufanya kazi na biashara Dar gharama za usafiri tu zitafanya project yako isiwe cost effective.
That's why the government should monopolize public transport at least starting with urban areas so it can become cheaper because the government offers service not doing business....
 
Tukienda kwa mfumo wa maswali kama hayo mkuu, tutashindwa kutatua changamoto nyingi sana... hilo jambo hata watumishi house mamelifanya... kuna njia nyingi za kutafuta capital.. tusiweke ugumu kwa kila jambo
Watumishi house? Unajua hapa tunashindwa kuelewana sehemu moja. Mm nakuambia hatuna bado uwezo wa kuvunja kata nzima na kuijenga upya. Huo uwezo hatuna

Watumishi house wanajenga nyumba/ghorofa si kununua kata nzima na kuivunja. Kununua kata nzima ya buguruni yenye sqkm 2 sio jambo rahisi kama ulichoandika. Na kwa nchi yetu kwa uchumi wetu haiwezekani kwa sasa labda huko miaka ya mbeleni sana
 

Nakuelewa mkuu, kama ni kwa ajili ya BRT tu basi ni majanga mengine mapya! Serikali haina uwezo acha nia ya kulipa idadi hiyo ya nyumba za sinza wala sio utani! Ubabe utatumika kama Kimara ilivyokua sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…