Uko tayari? Dar es Salaam mpya inakuja. Serikali kutwaa eneo la mita za mraba 233,000. Maeneo ya Sinza, jirani na Mlimani City, Boko, SIMU2000 kuguswa

Uko tayari? Dar es Salaam mpya inakuja. Serikali kutwaa eneo la mita za mraba 233,000. Maeneo ya Sinza, jirani na Mlimani City, Boko, SIMU2000 kuguswa

Unajua mnaongea mambo ya kufikirika sana. Hiyo commercial real estate yenye mtaji mkubwa wa kununua na kujenga upya kata nzima ni ipi hiyo?
Tukienda kwa mfumo wa maswali kama hayo mkuu, tutashindwa kutatua changamoto nyingi sana... hilo jambo hata watumishi house mamelifanya... kuna njia nyingi za kutafuta capital.. tusiweke ugumu kwa kila jambo
 
Huo ni mradi wa BRT inshu za sijui dar mpya mara wanapanga upya si wangechukua manzese, vingunguti au buguruni?
Mita za mraba 233,000 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa BRT unaofanywa na DART zinajumuisha maeneo yafuatayo:-
1. Makutano ya barabara ya Bagamoyo na Kunduchi (Mbuyuni) ni sqm 156,000 kwa ajili ya ujenzi wa Karakana kuu.
2. Eneo la Halmashauri ya Ubungo lililopo Simu 2000 sqm 35,000 kwa ajili ya ujenzi wa Karakarana kuu.
3. Bokobasiaya sqm 18,000 kwa ajili ya ujenzi wa kituo mrishi na maegesho ya magari.
4. Makutano ya barabara ya Sam Mujoma na Chuo Kikuu cha Ardhi mkabala na Mlimani City sqm 24,000 kwa ajili ya ujenzi wa kituo mrishi na maegesho ya magari.
Unajua huku huwa nasemaga Kuna watu wengi wajinga. Huyu aliyeweka hii post kaja na kitu ambacho hakipo kabisa. Ila bahati mbaya kakutana na wapo wasiojua lolote nao wanaanza kuchangia vile vile

Aliyeweka hii post alipoona imeandikwa kubadilisha muonekano wa dar, akili yake ilikua inanua zinabomolewa nyumba na kujengwa zingine. Bila kujua ni muonekano wa mradi wa BRT.

Akili yake inajua sqm200000 ni eneo moja lonabomolewa, bila kujua Hilo Ni eneo lote la mradi(pembezoni mwa barabara itapopita)
 
The road to hell is built with good intentions 🤣🤣🤣
Sawa.

But without good intention, anarchy prevail.

The thing to do is not avoid good intention because the road to hell is paved with good intention.

The thing to do is to vet good intention thoroughly so that it does not lead to hell.
 
Tumuulize mtoa mada mkuu! Nimechangia kama mpita njia anayekerwa na status quo tu mkuu sina maslahi yoyote
Hakuna kitu Kama hicho. Huyo alichoandika hakijui, huo ni mradi wa BRT ambao maeneo yatayoathrikka ni kote pembeni mwa barabara hadi mwisho wa barabara na si eneo moja la sinza kama alivyosema

Lakini ndio tunakuja kwenye common sense wewe unahisi ni rahisi kubomboa eneo la sqm200000 sinza? Hapo ndio mjadala wangu na wako ulipo.
 
Dar inapangwa upya, Sinza inasukwa upya, maeneo jirani na Mlimani City yanasukwa upya. Serikali inaenda kutwaa eneo la ukubwa wa mita za mraba 233,000 na kulipanga upya.

Maeneo kama Sinza yana viwanja vya 20/20, na maeneo hayo kwa sasa ndio ujenzi mkubwa wa maghorofa unakuja. Ni vyema serikali imeyatwaa maeneo hayo ili iyamiliki, ifute ramani ya eneo hilo, ifidie, kisha ilipange upya, na kugawa viwanja vikubwa kwa uwekezaji mkubwa.

Kama ujenzi ungeendelea kwa hali ilivyo, maeneo hayo yangekuwa hayana mvuto, na yenye msongamano.

Hii iende mpaka Tandale kwa awamu, tuipate Dar tunayoitaka.
View attachment 3171283
Walianza na siku 2000 wakaja na shule ya msingi ubungo kimyakimya sasa wameamua kuweka wazi
 
Sawa.

But without good intention, anarchy prevail.

The thing to do is not avoid good intention because the road to hell is paved with good intention.

The thing to do is to vet good intention thoroughly so that it does not lead to hell.
Trust has eroded and for good reasons
 
Kanuni kubwa ya real estate ni location.

Ukijenga Bagamoyo halafu watu wakahitaji kuja kufanya kazi na biashara Dar gharama za usafiri tu zitafanya project yako isiwe cost effective.
That's why the government should monopolize public transport at least starting with urban areas so it can become cheaper because the government offers service not doing business....
 
Tukienda kwa mfumo wa maswali kama hayo mkuu, tutashindwa kutatua changamoto nyingi sana... hilo jambo hata watumishi house mamelifanya... kuna njia nyingi za kutafuta capital.. tusiweke ugumu kwa kila jambo
Watumishi house? Unajua hapa tunashindwa kuelewana sehemu moja. Mm nakuambia hatuna bado uwezo wa kuvunja kata nzima na kuijenga upya. Huo uwezo hatuna

Watumishi house wanajenga nyumba/ghorofa si kununua kata nzima na kuivunja. Kununua kata nzima ya buguruni yenye sqkm 2 sio jambo rahisi kama ulichoandika. Na kwa nchi yetu kwa uchumi wetu haiwezekani kwa sasa labda huko miaka ya mbeleni sana
 
Hakuna kitu Kama hicho. Huyo alichoandika hakijui, huo ni mradi wa BRT ambao maeneo yatayoathrikka ni kote pembeni mwa barabara hadi mwisho wa barabara na si eneo moja la sinza kama alivyosema

Lakini ndio tunakuja kwenye common sense wewe unahisi ni rahisi kubomboa eneo la sqm200000 sinza? Hapo ndio mjadala wangu na wako ulipo.

Nakuelewa mkuu, kama ni kwa ajili ya BRT tu basi ni majanga mengine mapya! Serikali haina uwezo acha nia ya kulipa idadi hiyo ya nyumba za sinza wala sio utani! Ubabe utatumika kama Kimara ilivyokua sasa
 
Back
Top Bottom