MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
The road to hell is built with good intentions 🤣🤣🤣Watanzania wengine wana makovu ya kisaikolojia ya kupigwa mpaka ukiwaambia mpango mzuri tu wanaona kama unataka kuwapiga tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The road to hell is built with good intentions 🤣🤣🤣Watanzania wengine wana makovu ya kisaikolojia ya kupigwa mpaka ukiwaambia mpango mzuri tu wanaona kama unataka kuwapiga tu.
Karakana itakuwa pale kuanzia mbuyuni hadi kwenye makazi ya watu kule walipojenga wananchi palipokuwa machimbo ya mawe,Hilo Tangazo la Serikali kuna mahala wameandika karakana? Au ni ubunifu wako?
Tukienda kwa mfumo wa maswali kama hayo mkuu, tutashindwa kutatua changamoto nyingi sana... hilo jambo hata watumishi house mamelifanya... kuna njia nyingi za kutafuta capital.. tusiweke ugumu kwa kila jamboUnajua mnaongea mambo ya kufikirika sana. Hiyo commercial real estate yenye mtaji mkubwa wa kununua na kujenga upya kata nzima ni ipi hiyo?
Unajua huku huwa nasemaga Kuna watu wengi wajinga. Huyu aliyeweka hii post kaja na kitu ambacho hakipo kabisa. Ila bahati mbaya kakutana na wapo wasiojua lolote nao wanaanza kuchangia vile vileHuo ni mradi wa BRT inshu za sijui dar mpya mara wanapanga upya si wangechukua manzese, vingunguti au buguruni?
Mita za mraba 233,000 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa BRT unaofanywa na DART zinajumuisha maeneo yafuatayo:-
1. Makutano ya barabara ya Bagamoyo na Kunduchi (Mbuyuni) ni sqm 156,000 kwa ajili ya ujenzi wa Karakana kuu.
2. Eneo la Halmashauri ya Ubungo lililopo Simu 2000 sqm 35,000 kwa ajili ya ujenzi wa Karakarana kuu.
3. Bokobasiaya sqm 18,000 kwa ajili ya ujenzi wa kituo mrishi na maegesho ya magari.
4. Makutano ya barabara ya Sam Mujoma na Chuo Kikuu cha Ardhi mkabala na Mlimani City sqm 24,000 kwa ajili ya ujenzi wa kituo mrishi na maegesho ya magari.
Naamini ni hiari kama ni lazima kununuliwa hiyo haikubaliki kabisaMitazamo inatofautiana, wengine wanabiashara zao zinawalipa kununuliwa ni pigo kubwa
Sawa.The road to hell is built with good intentions 🤣🤣🤣
KwaniniKweli SSH amedhamiria kuishia 2025.
Hakuna kitu Kama hicho. Huyo alichoandika hakijui, huo ni mradi wa BRT ambao maeneo yatayoathrikka ni kote pembeni mwa barabara hadi mwisho wa barabara na si eneo moja la sinza kama alivyosemaTumuulize mtoa mada mkuu! Nimechangia kama mpita njia anayekerwa na status quo tu mkuu sina maslahi yoyote
Walianza na siku 2000 wakaja na shule ya msingi ubungo kimyakimya sasa wameamua kuweka waziDar inapangwa upya, Sinza inasukwa upya, maeneo jirani na Mlimani City yanasukwa upya. Serikali inaenda kutwaa eneo la ukubwa wa mita za mraba 233,000 na kulipanga upya.
Maeneo kama Sinza yana viwanja vya 20/20, na maeneo hayo kwa sasa ndio ujenzi mkubwa wa maghorofa unakuja. Ni vyema serikali imeyatwaa maeneo hayo ili iyamiliki, ifute ramani ya eneo hilo, ifidie, kisha ilipange upya, na kugawa viwanja vikubwa kwa uwekezaji mkubwa.
Kama ujenzi ungeendelea kwa hali ilivyo, maeneo hayo yangekuwa hayana mvuto, na yenye msongamano.
Hii iende mpaka Tandale kwa awamu, tuipate Dar tunayoitaka.
View attachment 3171283
Trust has eroded and for good reasonsSawa.
But without good intention, anarchy prevail.
The thing to do is not avoid good intention because the road to hell is paved with good intention.
The thing to do is to vet good intention thoroughly so that it does not lead to hell.
That's why the government should monopolize public transport at least starting with urban areas so it can become cheaper because the government offers service not doing business....Kanuni kubwa ya real estate ni location.
Ukijenga Bagamoyo halafu watu wakahitaji kuja kufanya kazi na biashara Dar gharama za usafiri tu zitafanya project yako isiwe cost effective.
Hizo mita za mraba laki 2 sio Kwa sinza pekee ni Kwa maeneo matatu yaliyo orodheshwaMradi wa mwendokasi na occupation ya mita za mraba hizo laki 2 sinza vinahusiana vipi?
Kibaha,mbagala huko kuelekea kigamboni mpaka vikinduKibaha wasipoiwahi inaondoka.
Watumishi house? Unajua hapa tunashindwa kuelewana sehemu moja. Mm nakuambia hatuna bado uwezo wa kuvunja kata nzima na kuijenga upya. Huo uwezo hatunaTukienda kwa mfumo wa maswali kama hayo mkuu, tutashindwa kutatua changamoto nyingi sana... hilo jambo hata watumishi house mamelifanya... kuna njia nyingi za kutafuta capital.. tusiweke ugumu kwa kila jambo
Hakuna kitu Kama hicho. Huyo alichoandika hakijui, huo ni mradi wa BRT ambao maeneo yatayoathrikka ni kote pembeni mwa barabara hadi mwisho wa barabara na si eneo moja la sinza kama alivyosema
Lakini ndio tunakuja kwenye common sense wewe unahisi ni rahisi kubomboa eneo la sqm200000 sinza? Hapo ndio mjadala wangu na wako ulipo.
Soma mtiririko ujue kwa nn nimekuuliza hivyo. Hao wote hawakujua huyu aliyeleta mada hakujua alichoandikaHizo mita za mraba laki 2 sio Kwa sinza pekee ni Kwa maeneo matatu yaliyo orodheshwa
That is a political convwrsation.Trust has eroded and for good reasons
Yapo maeneo yao. Ndio maana lile soko la simu 2000 limevunjwa.Nakuelewa mkuu, kama ni kwa ajili ya BRT tu basi ni majanga mengine mapya! Serikali haina uwezo acha nia ya kulipa idadi hiyo ya nyumba za sinza wala sio utani! Ubabe utatumika kama Kimara ilivyokua sasa
Kiwanja kitupu au 250 pamoja na jengo?Jiandae kukinga sasa sinza kwasasa hamna hamna 250mil 😄 nikumbuke kwenye ufalme wako