Mkuu,Nakuelewa mkuu, kama ni kwa ajili ya BRT tu basi ni majanga mengine mapya! Serikali haina uwezo acha nia ya kulipa idadi hiyo ya nyumba za sinza wala sio utani! Ubabe utatumika kama Kimara ilivyokua sasa
Mm sio mjuaji Ila ww ni mjinga ambae hujui kusoma na kuelewa.Naona wewe mjuaji sana
It doesn't even need to monopolize, monopolies lead to bureaucracies and problems in economies.That's why the government should monopolize public transport at least starting with urban areas so it can become cheaper because the government offers service not doing business....
Serikali inataratibu zake za kulipa fidia haijalishi Rais ni nani.Boko Msikitini mbali sana,mi kuna sehemu nna kibanda changu nahisi tutafikiwa tu,uzuri Samia sio kama Magufuli atalipa fidia kwa uwazi
Mkuu,
Serikali haina uwezo au haina nia?
Kiukweli kabisa unasema serikali haina uwezo kama hii ni priority?
Yani tuseme uchaguzi wa 2025 na kuendelea kwa serikali hii kunategemea watu kulipwa fidia stahiki hapo, serikali itashindwa kuwalipa?
NikweliSerikali inataratibu zake za kulipa fidia haijalishi Rais ni nani.
Tutumie akili kidogo,hilo eneo ni dogo.Nafikiri kuna mradi maalumu utakuja kulingana na uwezo wa eneo husika.Serikali inaenda kutwaa eneo la ukubwa wa mita za mraba 233,000
Ama kweli pesa lubricant ya roho, hadi mzee wa likes, umekoment 😂🤣Jiandae kukinga sasa sinza kwasasa hamna hamna 250mil 😄 nikumbuke kwenye ufalme wako
hili linajulikana na kukubalika, swali linabaki pale pale, kwa nini wasiwaarifu wamili wa hiyo ardhi moja kwa moja maana particular zao wanazo... hata luku wanalipia huko huko Tanesco na Kodi wanakwatwaChini ya Land Acquisition Act, serikali inaruhusiwa kufanya "redevelopment" ya maeneo
Ukilipwa na serikali husitegemee kupata hela kubwa, hapo watakuja watu wa ardhi watadhaminisha ardhi na vilivyomo. Ila kama angekuwa mtu binafsi kweli wangepiga hela ya maana. Ila serikali hata Rais angekuwa nani ,mtalipwa hela ya kawaida.Nikweli
Mpaka sasa naona ni hizi ramaniBoko Msikitini mbali sana,mi kuna sehemu nna kibanda changu nahisi tutafikiwa tu,uzuri Samia sio kama Magufuli atalipa fidia kwa uwazi
Iyo ramani inaeleza vipi kwenye maeneo yenye rangi ya bahari?Mpaka sasa naona ni hizi ramaniView attachment 3171604View attachment 3171605
Wewe usijali atapewa GSM ndio habari ya mjini kwenye malipoNimeona hili tangazo sijalielewa. Pesa ya kulipa fidia hilo eneo ipo?
Kweli ila nyuma ya pazia target ya serikali kipindi hiki itafanikiwa kuwaondoa wale wavamizi wabishi kwenye machimbo ya kokoto pale Kunduchi. Kufutana na tangazo pale watachukua 156,000sqm.Wanaweka karakana tu za mwendokasi hakuna kupanga upya waka nini, punguza uchawa
Pesa sio kila kitu mkuu ila inanguvu hatari. Mnaweza lipwa hata 5bln kila mmoja na mpo wakazi milioni moja.Nimeona hili tangazo sijalielewa. Pesa ya kulipa fidia hilo eneo ipo?