Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Mkuu,Nakuelewa mkuu, kama ni kwa ajili ya BRT tu basi ni majanga mengine mapya! Serikali haina uwezo acha nia ya kulipa idadi hiyo ya nyumba za sinza wala sio utani! Ubabe utatumika kama Kimara ilivyokua sasa
Serikali haina uwezo au haina nia?
Kiukweli kabisa unasema serikali haina uwezo kama hii ni priority?
Yani tuseme uchaguzi wa 2025 na kuendelea kwa serikali hii kunategemea watu kulipwa fidia stahiki hapo, serikali itashindwa kuwalipa?