Uko tayari? Dar es Salaam mpya inakuja. Serikali kutwaa eneo la mita za mraba 233,000. Maeneo ya Sinza, jirani na Mlimani City, Boko, SIMU2000 kuguswa

Uko tayari? Dar es Salaam mpya inakuja. Serikali kutwaa eneo la mita za mraba 233,000. Maeneo ya Sinza, jirani na Mlimani City, Boko, SIMU2000 kuguswa

Nakuelewa mkuu, kama ni kwa ajili ya BRT tu basi ni majanga mengine mapya! Serikali haina uwezo acha nia ya kulipa idadi hiyo ya nyumba za sinza wala sio utani! Ubabe utatumika kama Kimara ilivyokua sasa
Mkuu,

Serikali haina uwezo au haina nia?

Kiukweli kabisa unasema serikali haina uwezo kama hii ni priority?

Yani tuseme uchaguzi wa 2025 na kuendelea kwa serikali hii kunategemea watu kulipwa fidia stahiki hapo, serikali itashindwa kuwalipa?
 
That's why the government should monopolize public transport at least starting with urban areas so it can become cheaper because the government offers service not doing business....
It doesn't even need to monopolize, monopolies lead to bureaucracies and problems in economies.

The government needs to be sensibke about setting the right environment for economic growth.

So big picture projects like BRT need to be ked by tge government, but tgat does not mean the government needs to monopolize tge business. That will lead to inefficiencies.
 
Mkuu,

Serikali haina uwezo au haina nia?

Kiukweli kabisa unasema serikali haina uwezo kama hii ni priority?

Yani tuseme uchaguzi wa 2025 na kuendelea kwa serikali hii kunategemea watu kulipwa fidia stahiki hapo, serikali itashindwa kuwalipa?

Nimesema kama target ni kufudia kwa ajili ya BRT! Najua hizi ni pesa ya mikopo na ufadhili na huwa zina package kamili lakini uzoefu unaonyesha huwa ni majanga kwa waathirika kwenye execution. Otherwise I support mtazamo wako, una vision kubwa sana kwa embeciles tulionao madarakani!
 
Hii mipango imepangwa lini na inapangwa long term kwa muda gani ujao..., Na kwa faida ya Nani ?

Tatizo la hii nchi kila anayeamka anakuja na yake badala ya kuwa na master plan ambayo itahusisha wadau wote na kuangalia pro and cons na muingiliano wa pillars zote i.e. Social, Economical na Environmental..., Bila kusahau vipaumbele sababu mshika mbili moja humponyoka let alone mshika arobaini (mara mabasi ya umeme, mara kupeleka satellite sijui wapi basi tu kizungumkuti) na hapo kodi zetu zinaliwa kwa planning ambazo nyingine will never pan out au wachache kujigawia prime areas wakati wengi kudumbukia kwenye umasikini...

Busy talking the talk while it could have been beneficial if they could even walk the walk quietly
 
Serikali inaenda kutwaa eneo la ukubwa wa mita za mraba 233,000
Tutumie akili kidogo,hilo eneo ni dogo.Nafikiri kuna mradi maalumu utakuja kulingana na uwezo wa eneo husika.

Ukizipeleka kwenye heka ni eneo dogo sana! Mtoa mada nafikiri umeleta taaharuki isiyofaa! Pia wahusika wanazo taarifa juu ya huo mradi!

 
Chini ya Land Acquisition Act, serikali inaruhusiwa kufanya "redevelopment" ya maeneo
hili linajulikana na kukubalika, swali linabaki pale pale, kwa nini wasiwaarifu wamili wa hiyo ardhi moja kwa moja maana particular zao wanazo... hata luku wanalipia huko huko Tanesco na Kodi wanakwatwa
 
Boko Msikitini mbali sana,mi kuna sehemu nna kibanda changu nahisi tutafikiwa tu,uzuri Samia sio kama Magufuli atalipa fidia kwa uwazi
Mpaka sasa naona ni hizi ramani
Ujenzi.jpeg
uje.jpeg
 
Shida mtoa taarifa katudanganya. Kumbe ni issue za BRT na siyo kama tulivyoambiwa hapo juu
Eneo kubwa linalochukuliwa ni la kunduchi mbuyuni sqm 156000 hili kujenga karakana kuu kwa mabasi yote ya mwendokasi dar es salaam yote. Nimesoma kwenye gazeti la mwananchi ndo nimeelewa
 
Back
Top Bottom