Uko tayari kufanyiwa kipimo cha afya kupitia njia yako ya haja kubwa (anal canal)?

Bado hawajaumwa vizuri haoo.. Siku moja Naona 'mjomba' anaota majipu majipu.. Nmefka hospital naanza kumpa Dokta maelezo Meeengi, akaniambia funga mlango haya vua unioneshe.. Kinyonge sana nikafanya hivyo maana Nilionaga picha za "Pangusa" nikiwa Form 2 nazikumbuka mpaka leo.. Maradhi kitu Kingine
 
VP na Ile tiba ya kuwekewa dawa mkun.... afu unaenda kuharisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…