Ukoloni Mamboleo: Media za kenya zaonyesha Live Harusi ya Mjukuu wa Malkia Elizabeth

Very funny
 
Mzungu Wap? Mbegu ya settlers wa Kikaburu...
Usiongee kitu haujui. Babake First Lady was the first Kenyan to get phd in Germany. Halafu akaoa huko na kupata binti huyo kutokana na ndoa hiyo
 
Je, Harusi ya Alikiba Citizen,KTN and NTV walionesha!?
Huu ni ujinga wa wakenya. Wakenya mnaturudisha nyuma sana katika kulikomboa bara la Africa.
Annael mbona hili jambo dogo sana la kuonyesha wedding limekuwasha hivi. Uchungu wa nini ndugu yangu?
 
Wanongo wanachagua vya kusisia, hawawezi kususia iphone. Kwetu bongo hata radio ikipiga sana nyimbo za adele ni ukoloni mambo leo.
 
Kuwafumbua macho kwa kuonesha Harusi!!? Acha ujinga kijana. Huo ni utumwa akili.
Acha kutukuza wazungu. Wakenya mnazingua kinyama.
Wewe endelea kuongea ilihali mtanzania wako Geza alishawahi fungua uzi mzima hapa kisa na maana naibu raisi wenyu kaonekana akipiga picha na Prince William. Ya nyani kutoona kundule.
 
Hii ndiyo maana ya kutekwa Akili. Yaani sasa kwa sababu Meghan ni halfcast unaona Wakoloni wamekuwa familia moja na Mwafrika..😀😀


Huyu hajui waingereza wanayosema kuhusu wageni.... when a puppy is born in the horse's house, that can not make it a horse. It will still be a puppy.

CC: chabuso
 
Aha haaa
Covering the wedding of queen's grandson.
🤣🤣🤣
 
Unashangaa tu media houses za Kenya kutangaza live ile harusi na kuiita ukoloni mamboleo wakati kila kitu unatumia ni ya mzungu. Hata simu/computer uliyotumia kufungiwa huu uzi ni technology ya mzungu. Huoni una matatizo ya akili wewe bongolala?
 
Unashangaa tu media houses za Kenya kutangaza live ile harusi na kuiita ukoloni mamboleo wakati kila kitu unatumia ni ya mzungu. Hata simu/computer uliyotumia kufungiwa huu uzi ni technology ya mzungu. Huoni una matatizo ya akili wewe bongolala?

We are using only serious things which we can't produce in here.
Now harusi ndiyo unaona ni jambo la maana kuonesha live coverage, kama siyo ushamba ni kitu gani.
Shida yenu, anything inayofanywa na mzungu is right.
Poor you, people of NYANG'AUSTAN.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…