sean marcus
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 768
- 592
Tanzania are busy watching Kenyan Tv's and complaining at the same time.
Mbona msione hizo boring tv stations zenyu.
Mbona msione hizo boring tv stations zenyu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamngekua busy watching through Kenyas Tv..Tanzania inajitambua
Wanaenda serengeti mkuuHalafu itokee wanaenda kula honey moon Bongo! Hawatalala humu ndani kwa mchambo wangu.
Very funnyMkuu Media za hazionyeshi kwasababu ziko nyuma kimaendeleo Tanzania,hii harusi ya Price Harry and Meghan Markel takriban nchi zote duniani zinaonyesha LIVE,kumbuka Tanzania ndio nchi ya mwisho dunia wananchi wake kuona TV,Watanganyika wameanza kuona TV mwaka 1987..
Usiongee kitu haujui. Babake First Lady was the first Kenyan to get phd in Germany. Halafu akaoa huko na kupata binti huyo kutokana na ndoa hiyoMzungu Wap? Mbegu ya settlers wa Kikaburu...
Annael mbona hili jambo dogo sana la kuonyesha wedding limekuwasha hivi. Uchungu wa nini ndugu yangu?Je, Harusi ya Alikiba Citizen,KTN and NTV walionesha!?
Huu ni ujinga wa wakenya. Wakenya mnaturudisha nyuma sana katika kulikomboa bara la Africa.
Mzungu Wap? Mbegu ya settlers wa Kikaburu...
still laughing!...Sisi uku tunaoneshwa ziara za Rais tu, ata akigawa mapapai tutaoneshwa live.
Hahaaa. Noma sana. Pewa keg mtungi kwa bill yanguSisi uku tunaoneshwa ziara za Rais tu, ata akigawa mapapai tutaoneshwa live.
Wewe endelea kuongea ilihali mtanzania wako Geza alishawahi fungua uzi mzima hapa kisa na maana naibu raisi wenyu kaonekana akipiga picha na Prince William. Ya nyani kutoona kundule.Kuwafumbua macho kwa kuonesha Harusi!!? Acha ujinga kijana. Huo ni utumwa akili.
Acha kutukuza wazungu. Wakenya mnazingua kinyama.
Magufuli uwezo anaoInawezekana..,lakini safari na mikutano ya Magufuli inaonyeshwa LIVE,watanzania wamebanwa kimawazo,kweli unafikri Bunge halionyeshi LIVE kwasababu za ghrama,..
Hii ndiyo maana ya kutekwa Akili. Yaani sasa kwa sababu Meghan ni halfcast unaona Wakoloni wamekuwa familia moja na Mwafrika..😀😀
Unashangaa tu media houses za Kenya kutangaza live ile harusi na kuiita ukoloni mamboleo wakati kila kitu unatumia ni ya mzungu. Hata simu/computer uliyotumia kufungiwa huu uzi ni technology ya mzungu. Huoni una matatizo ya akili wewe bongolala?