Nimekuwa nikiumizwa sana na vijana wengi wanaomaliza masomo kila mwaka na kukosa ajira.
Uchunguzi niliyofanya nimegundua kuwa ajira karibu zote zinagawiwa kwa watoto wa viongozi wa kisiasa na serikali.
Hakuna mtoto wa kiongozi asiye na ajira kama walivyo watoto wawakulima na wafanyakazi wa kawaida.
Tayari tumeishajenga matabaka katika jamii yetu, na hili ni bomu litakalotulipukia mda si mrefu sana.