Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Bomu kulipuka ndio haiwezekanina hili ni bomu litakalotulipukia mda si mrefu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bomu kulipuka ndio haiwezekanina hili ni bomu litakalotulipukia mda si mrefu sana.
Kikinuka bado watawashikisha bunduki na kuzuia mipaka vijana wote msitoke bali mpigane, ila kipindi kumetulia wanakula good life.Nimekuwa nikiumizwa sana na vijana wengi wanaomaliza masomo kila mwaka na kukosa ajira.
Uchunguzi niliyofanya nimegundua kuwa ajira karibu zote zinagawiwa kwa watoto wa viongozi wa kisiasa na serikali.
Hakuna mtoto wa kiongozi asiye na ajira kama walivyo watoto wawakulima na wafanyakazi wa kawaida.
Tayari tumeishajenga matabaka katika jamii yetu, na hili ni bomu litakalotulipukia mda si mrefu sana.
Nitajie mtoto wa kiongozi asiye na ajiraIngependeza hao watot wa viongozi ungewataja Ila siyo kutupakazia viongozi wote ahahah
Unamkumbuka yule mkwe wa mstaafu alikwenda kupanga foleni loan board ati naye hana fedha za kulipia ada ya masomo huku mumewe ni prince, hapo ndiyo ujue kuna familia zina overeatTayari tumeishajenga matabaka katika jamii yetu, na hili ni bomu litakalotulipukia mda si mrefu sana.
ni sawa tu, haiwezekani nimuache ndugu yng ahangaike wakati nina uwezo wa kumtafutia ajira. tunatafuta maisha kwaajiri yetu kwanza halafu ndiyo watu wengineKwa hiyo unaona ni sawa tu!
MkuuuNimekuwa nikiumizwa sana na vijana wengi wanaomaliza masomo kila mwaka na kukosa ajira.