Kweli tupuNimekuwa nikiumizwa sana na vijana wengi wanaomaliza masomo kila mwaka na kukosa ajira. Uchunguzi niliyofanya nimegundua kuwa ajira karibu zote zinagawiwa kwa watoto wa viongozi wa kisiasa na serikali. Hakuna mtoto wa kiongozi asiye na ajira kama walivyo watoto wawakulima na wafanyakazi wa kawaida.
Tayari tumeishajenga matabaka katika jamii yetu, na hili ni bomu litakalotulipukia mda si mrefu sana.
Kwa hiyo unaona ni sawa tu!Viongozi Wana connection na mazingira ya favour na wewe unayo? Prepare your own empire.
Wewe unaona inawezekana wapi kila mtu kuwa kiongozi Ili upate connection na favour?Kwa hiyo unaona ni sawa tu!
Sio kila mtu kuwa kiongozi bali nafasi zitolewe kwa vigezo na sio connectionWewe unaona inawezekana wapi kila mtu kuwa kiongozi Ili upate connection na favour?
Kwani huwa zinatolewaje? Wote mnavigezo atakayepewa ni mwenye connection.Sio kila mtu kuwa kiongozi bali nafasi zitolewe kwa vigezo na sio connection
Huenda wewe ni mmoja waoKwani huwa zinatolewaje? Wote mnavigezo atakayepewa ni mwenye connection.
YapHuenda wewe ni mmoja wao
Subiria mapinduzi mtaliwa vichwa
Ajira zao zinawa subiri.Sasa mbona viongozi wengine "vitoto vyao" bado vinasoma sekondari mkuu ?
SawaSubiria mapinduzi mtaliwa vichwa
Ameeeeeeen!!!Bila kusahau na undugu plus ukanda.
Mungu tu atusaidie kila mmoja kwa namna anavyostahili.