Ukosefu wa maadili unatisha kwa kasi unayoporomoka Tanzania

Mzazi anaweza kuwa drunker Ila mtoto wake akawa sio mtumiaji wa vilevi this is what my parentsdid to me

Kilichopo wamtumikie Mungu tu hapo Maisha ya kiroho ndo kila kitu

Nina 26 yrs
Sinywi pombe
Sivuti sigara Wala bangi
Sifanyi Uzinzi na sijawahi

Namtumikia Mungu Sana na nafurahia Maisha vizuri
 
Unategemea maadili kwenye jamii masikini?
Maadili kwenye jamii isiyotaka elimika?
Maadili kwenye jamii ambayo watoto wanajilea wenyewe ?
Maadili kwenye jamii inayolelewa na msaidizi wa kazi?
Maadili kwenye jamii isiyo na hofu ya Mungu?
Maadili kwenye jamii inayosikiliza nyimbo hamasishi za ngono, ulevi, uvutaji?

Maadili kwenye kuishi uswahilini ambapo kila mtu ana ndevu kama kambale?

Ili tuwe na maadili kila mtu aangalie mtoto wake na kumtunza vizuri kwa ajili ya kesho.

Turudi makanisani na misikitini

Tuondoke uswahilini

Tuzuie nyimbo zote za Singeli

Tuwazuie Kina Diamond

Tuzuie Tiktok
 
Naona Mkuu umejikita kwenye maadili ya Malezi kwaajili ya kupata Mke ama Mume bora kwaajili ya kujenga familia.

Hili suala Wazazi tukiongeza bidii za malezi kuanzia nyumbani hadi shuleni tunaweza kufauru. Kuna misingi kidogo imeyumba.

Ila binafsi najikita kwenye maadili ya Viongozi wetu, kwani ndiyo wamebeba dhamana Juu ya Rasilimali zetu.

Kawaida maadili mema huanzia kwenye ngazi ya familia, nadhani vizazi vya miaka 1970 kurudi nyuma hawa wanaweza kuwa na nafuu kidogo.

Ingawa shida yao ipo kwenye Ufisadi, ndiyo maadili ni pamoja na kuheshimu mali za Umma na kutofisadi.

Ukiangalia matukio ya Ufisadi mengi yaliasisiwa na Viongozi Wenye Umri Mkubwa sasa, ambao wameweza kuwarithisha watoto wao hivyo kuendeleza Ufisafi.

Jambo hili limekuwa kama Kansa kwa Nchi, mara baada ya Nyerere kuondoka Madarakani Ufisadi ukaanza kushamiri hadi sasa imekuwa sehemu ya Watawala kujimilikisha Mali za Umma.

Nadhani hii ndiyo mbaya zaidi
 
Kumbukeni pia maadili pia ni utamaduni.

Sio mambo ya kuforce na hayaji tu hivi hivi.
 
Akanielewesha nikamuelewa, nikamuunganisha na watu Dar., Nafurahi kusema akapata mke na mpaka sasa wanazeeka pamoja, watoto zao wameshafikia umri wa kujukuu, kama bado, sina mawasiliano nao ya mara kwa mara.
Kama jamaa anawajukuu wewe ni Mzee Sanaa.....
 
Bila ya shaka, wengi wa wale wenye umri iliozido miaka 40 watanielewa.

Tanzania yetu iliyokuwa inasifika ndani na nje ya nchi kwa maadili na nidhamu imeenda "arijjojo", wale waliowahi kucheza na vishada (kites) watanielewa nikisema "arijojo".

Nakumbuka miaka ya nyuma, kuna vijana nilikiuwa nawasiliano nao sana US, wakati huo nami naishi nje ya Tanzania, akanambia kuna rafiki yake anatafuta mchumba nimtafutie, nikamwambia mbona wachumba wapo wengi na vijana siku hizi hakuna anaetaka kutafutiwa, akanambia hujanielewa, hataki mchumba tu, anataka mchumba kutokea Tanzania. Akanielewesha nikamuelewa, nikamuunganisha na watu Dar., Nafurahi kusema akapata mke na mpaka sasa wanazeeka pamoja, watoto zao wameshafikia umri wa kujukuu, kama bado, sina mawasiliano nao ya mara kwa mara.

Hiyo siyo point yangu bali ni mfano tu. Kama hayo yalikuwa mengi sana si kutokea Ulaya tu, hata nchi za jirani walitamani kuoa mwanamke wa Kitanzania, sababu kuu ikiwa ni maadili.

Leo hayo kukutana nayo ni nadra sana, sisemi yamekwisha kabisa, lakini yameporomoka kwa kiwango kikubwa sana. Ni nini kilichotufikisha hapo? Nafahamu wengi sana maisha wanayokutana nayo ndivyo yalivyo, hawatoweza kunielewa kabisa, kwani hawana na cha kulinganisha nayo hayo, sisi wa zamani tunayoyaona kuwa ni maadili mema.

Wewe unayenisoma, maadili mema kwako ni yepi? Tutajie japo moja tu. Inawezekana kabisa nnavyoviona mimi kuwa si maadili mema, kwako ikawa ni ajabu kwanini hilo hayo si maadili mema.

My take; Maadili mema hayafundishwi tu, bali huanzia kwa kuigwa, je ni wazazi ndiyo tulikosea?
Vip bado Israel inaogopa kuingia Gaza au kichapo kishaanza
 
Ulitaka nieneze chuki za upagani?

Kama wewe huna dini unataka wote tusiwe na dini? Kukosa dini ndiyo chanzo kikuuu cha ukosefu wa maadili.

Kama huna dini hayo maadili utajifunza kutokea wapi?
Wenye dini ndio kama akina Wema Sepetu sio?
 
Jambo lolote la kitaifa huanzia katika ngazi ya kifamilia.
Katika miaka ya karibuni tumekua na familia mbovu ambazo hazina Baba kama msimamizi mkuu wa familia, hivyo kupelekea watoto kufata lolote wanalokutana nalo katika mitandao ya kijamii au huko nje wanapotoka kijunga na jamii.
Familia ziboreshwe ili kuleta matokea chanya kama ilivyokua mwanzo.
 
BAba kazaliwa 2000 ,Mama kazaliwa 2003 , mtoto kazaliwa 2018 unategemea Familia hiyo itakuwa na Maadili wayatoe wapi ....Wote watoto wa 2000s
Wazeee msisingizie waliozaliwa 2000 mambo mengi ya hovyo mnayafanya ninyi zaidi kuliko sisi🤔🤔hawa watu wazima wenye 40+ wanaotembea na mabinti wa chuo/ mabinti wadogo kiumri walizaliwa 2002? Mashangazi hawa tunaokutana nao kwenye biashara na makazini nao walizaliwa 2000🤔🤔
 
Sasa mtoto wa 2000 utamtongozaje mtu anakuzidi umri AKA mashangazi kama sio ukosefu wa adabu ni Upi..
Utakuwa na utovu wa Adabu endapo utamtongoza eti kwa sababu ulisikia wakubwa wana....
 
Na wababa wanatongozwa na mabinti wa chuo?
 
Bila ya shaka, wengi wa wale wenye umri iliozido miaka 40 watanielewa.

Tanzania yetu iliyokuwa inasifika ndani na nje ya nchi kwa maadili na nidhamu imeenda "arijjojo", wale waliowahi kucheza na vishada (kites) watanielewa nikisema "arijojo".

Nakumbuka miaka ya nyuma, kuna vijana nilikiuwa nawasiliano nao sana US, wakati huo nami naishi nje ya Tanzania, akanambia kuna rafiki yake anatafuta mchumba nimtafutie, nikamwambia mbona wachumba wapo wengi na vijana siku hizi hakuna anaetaka kutafutiwa, akanambia hujanielewa, hataki mchumba tu, anataka mchumba kutokea Tanzania. Akanielewesha nikamuelewa, nikamuunganisha na watu Dar., Nafurahi kusema akapata mke na mpaka sasa wanazeeka pamoja, watoto zao wameshafikia umri wa kujukuu, kama bado, sina mawasiliano nao ya mara kwa mara.

Hiyo siyo point yangu bali ni mfano tu. Kama hayo yalikuwa mengi sana si kutokea Ulaya tu, hata nchi za jirani walitamani kuoa mwanamke wa Kitanzania, sababu kuu ikiwa ni maadili.

Leo hayo kukutana nayo ni nadra sana, sisemi yamekwisha kabisa, lakini yameporomoka kwa kiwango kikubwa sana. Ni nini kilichotufikisha hapo? Nafahamu wengi sana maisha wanayokutana nayo ndivyo yalivyo, hawatoweza kunielewa kabisa, kwani hawana na cha kulinganisha nayo hayo, sisi wa zamani tunayoyaona kuwa ni maadili mema.

Wewe unayenisoma, maadili mema kwako ni yepi? Tutajie japo moja tu. Inawezekana kabisa nnavyoviona mimi kuwa si maadili mema, kwako ikawa ni ajabu kwanini hilo hayo si maadili mema.

My take; Maadili mema hayafundishwi tu, bali huanzia kwa kuigwa, je ni wazazi ndiyo tulikosea?
kwanza kabisa nashukuru kwa bandiko hili muhimu la kimaadili.

pili, ni ombi. Tadhali sana ikikupendeza naomba mimi kua rafiki yako wa pili baada ya huyo wa US, kutoka huku mkoani shambani saivi, kwamba kwa heshima na taadhima naomba unitaftie mchumba huko dasalama, nashukuru sana kwa hilo.

Tatu na mwisho, maadili ya sasa hivi ktika jamii ni mchanganyo na msongamano tafakarishi sana,
wazee hawa waliozaliwa miaka ya 60, 70 na 80 usela mwingi sana.
ukimpiga na shikamoo lazima aitikie Marhabah, halafu akugonge na Mambrooo mrembo au jombah, aunt.....

sasa sijuu wazee wanaokuja wa miaka ya 90 itakuaje....
 
Bila ya shaka, wengi wa wale wenye umri iliozido miaka 40 watanielewa.

Tanzania yetu iliyokuwa inasifika ndani na nje ya nchi kwa maadili na nidhamu imeenda "arijjojo", wale waliowahi kucheza na vishada (kites) watanielewa nikisema "arijojo".

Nakumbuka miaka ya nyuma, kuna vijana nilikiuwa nawasiliano nao sana US, wakati huo nami naishi nje ya Tanzania, akanambia kuna rafiki yake anatafuta mchumba nimtafutie, nikamwambia mbona wachumba wapo wengi na vijana siku hizi hakuna anaetaka kutafutiwa, akanambia hujanielewa, hataki mchumba tu, anataka mchumba kutokea Tanzania. Akanielewesha nikamuelewa, nikamuunganisha na watu Dar., Nafurahi kusema akapata mke na mpaka sasa wanazeeka pamoja, watoto zao wameshafikia umri wa kujukuu, kama bado, sina mawasiliano nao ya mara kwa mara.

Hiyo siyo point yangu bali ni mfano tu. Kama hayo yalikuwa mengi sana si kutokea Ulaya tu, hata nchi za jirani walitamani kuoa mwanamke wa Kitanzania, sababu kuu ikiwa ni maadili.

Leo hayo kukutana nayo ni nadra sana, sisemi yamekwisha kabisa, lakini yameporomoka kwa kiwango kikubwa sana. Ni nini kilichotufikisha hapo? Nafahamu wengi sana maisha wanayokutana nayo ndivyo yalivyo, hawatoweza kunielewa kabisa, kwani hawana na cha kulinganisha nayo hayo, sisi wa zamani tunayoyaona kuwa ni maadili mema.

Wewe unayenisoma, maadili mema kwako ni yepi? Tutajie japo moja tu. Inawezekana kabisa nnavyoviona mimi kuwa si maadili mema, kwako ikawa ni ajabu kwanini hilo hayo si maadili mema.

My take; Maadili mema hayafundishwi tu, bali huanzia kwa kuigwa, je ni wazazi ndiyo tulikosea?
Andiko zuri, chanzo kikubwa ni malezi na mfumo mbovu wa kulinda maadili ya mtanzania. Tumeona Arusha wakiweka mfano wa mfumo wa mavazi, watu wamezodoa... Ila kile wanachotaka kufanya ni kujenga mfumo wa kulinda maadili, hapa si semi kuwa ndio mfumo njia bora but at least wameonesha nia.
Sasa Kam serikali inge weka mfumo huo kwa kufundisha Mashuleni, kutoa kama by laws ktk ma shule mitaani tangu zamani, tungeweza Linda kwa kiasi kikubwa maadili yetu.

Elimu Nido msingi mkubwa ktk malezi ya maadili mema. Serikali iweke mkazo ktk eneo hili.
 
Back
Top Bottom