DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kama jamaa anawajukuu wewe ni Mzee Sanaa.....Akanielewesha nikamuelewa, nikamuunganisha na watu Dar., Nafurahi kusema akapata mke na mpaka sasa wanazeeka pamoja, watoto zao wameshafikia umri wa kujukuu, kama bado, sina mawasiliano nao ya mara kwa mara.
Hapa ndio tatizo lilipoanzia.Wazazi wa sasa hasa wanawake ambao ni msingi bora kabisa wa maadili kwa watoto wapo bize kutafuta pesa , mtoto anakua bila malezi kutoka kwa mama
Vip bado Israel inaogopa kuingia Gaza au kichapo kishaanzaBila ya shaka, wengi wa wale wenye umri iliozido miaka 40 watanielewa.
Tanzania yetu iliyokuwa inasifika ndani na nje ya nchi kwa maadili na nidhamu imeenda "arijjojo", wale waliowahi kucheza na vishada (kites) watanielewa nikisema "arijojo".
Nakumbuka miaka ya nyuma, kuna vijana nilikiuwa nawasiliano nao sana US, wakati huo nami naishi nje ya Tanzania, akanambia kuna rafiki yake anatafuta mchumba nimtafutie, nikamwambia mbona wachumba wapo wengi na vijana siku hizi hakuna anaetaka kutafutiwa, akanambia hujanielewa, hataki mchumba tu, anataka mchumba kutokea Tanzania. Akanielewesha nikamuelewa, nikamuunganisha na watu Dar., Nafurahi kusema akapata mke na mpaka sasa wanazeeka pamoja, watoto zao wameshafikia umri wa kujukuu, kama bado, sina mawasiliano nao ya mara kwa mara.
Hiyo siyo point yangu bali ni mfano tu. Kama hayo yalikuwa mengi sana si kutokea Ulaya tu, hata nchi za jirani walitamani kuoa mwanamke wa Kitanzania, sababu kuu ikiwa ni maadili.
Leo hayo kukutana nayo ni nadra sana, sisemi yamekwisha kabisa, lakini yameporomoka kwa kiwango kikubwa sana. Ni nini kilichotufikisha hapo? Nafahamu wengi sana maisha wanayokutana nayo ndivyo yalivyo, hawatoweza kunielewa kabisa, kwani hawana na cha kulinganisha nayo hayo, sisi wa zamani tunayoyaona kuwa ni maadili mema.
Wewe unayenisoma, maadili mema kwako ni yepi? Tutajie japo moja tu. Inawezekana kabisa nnavyoviona mimi kuwa si maadili mema, kwako ikawa ni ajabu kwanini hilo hayo si maadili mema.
My take; Maadili mema hayafundishwi tu, bali huanzia kwa kuigwa, je ni wazazi ndiyo tulikosea?
Wenye dini ndio kama akina Wema Sepetu sio?Ulitaka nieneze chuki za upagani?
Kama wewe huna dini unataka wote tusiwe na dini? Kukosa dini ndiyo chanzo kikuuu cha ukosefu wa maadili.
Kama huna dini hayo maadili utajifunza kutokea wapi?
hebu kuwa na adabu, jadili hojaFaiza fix
Wazeee msisingizie waliozaliwa 2000 mambo mengi ya hovyo mnayafanya ninyi zaidi kuliko sisi🤔🤔hawa watu wazima wenye 40+ wanaotembea na mabinti wa chuo/ mabinti wadogo kiumri walizaliwa 2002? Mashangazi hawa tunaokutana nao kwenye biashara na makazini nao walizaliwa 2000🤔🤔BAba kazaliwa 2000 ,Mama kazaliwa 2003 , mtoto kazaliwa 2018 unategemea Familia hiyo itakuwa na Maadili wayatoe wapi ....Wote watoto wa 2000s
Sasa mtoto wa 2000 utamtongozaje mtu anakuzidi umri AKA mashangazi kama sio ukosefu wa adabu ni Upi..Wazeee msisingizie waliozaliwa 2000 mambo mengi ya hovyo mnayafanya ninyi zaidi kuliko sisi🤔🤔hawa watu wazima wenye 40+ wanaotembea na mabinti wa chuo/ mabinti wadogo kiumri walizaliwa 2002? Mashangazi hawa tunaokutana nao kwenye biashara na makazini nao walizaliwa 2000🤔🤔
Na wababa wanatongozwa na mabinti wa chuo?Sasa mtoto wa 2000 utamtongozaje mtu anakuzidi umri AKA mashangazi kama sio ukosefu wa adabu ni Upi..
Utakuwa na utovu wa Adabu endapo utamtongoza eti kwa sababu ulisikia wakubwa wana....
Hiyo ilikuwepo ns ni halali yao Tangu miaka ya 1800 hiyo ipo na maadili hayakuwahi kuporomokaNa wababa wanatongozwa na mabinti wa chuo?
Watu wazima Ndo wameharibika zaidi kuliko Vijana 2000Hiyo ilikuwepo ns ni halali yao Tangu miaka ya 1800 hiyo ipo na maadili hayakuwahi kuporomoka
kwanza kabisa nashukuru kwa bandiko hili muhimu la kimaadili.Bila ya shaka, wengi wa wale wenye umri iliozido miaka 40 watanielewa.
Tanzania yetu iliyokuwa inasifika ndani na nje ya nchi kwa maadili na nidhamu imeenda "arijjojo", wale waliowahi kucheza na vishada (kites) watanielewa nikisema "arijojo".
Nakumbuka miaka ya nyuma, kuna vijana nilikiuwa nawasiliano nao sana US, wakati huo nami naishi nje ya Tanzania, akanambia kuna rafiki yake anatafuta mchumba nimtafutie, nikamwambia mbona wachumba wapo wengi na vijana siku hizi hakuna anaetaka kutafutiwa, akanambia hujanielewa, hataki mchumba tu, anataka mchumba kutokea Tanzania. Akanielewesha nikamuelewa, nikamuunganisha na watu Dar., Nafurahi kusema akapata mke na mpaka sasa wanazeeka pamoja, watoto zao wameshafikia umri wa kujukuu, kama bado, sina mawasiliano nao ya mara kwa mara.
Hiyo siyo point yangu bali ni mfano tu. Kama hayo yalikuwa mengi sana si kutokea Ulaya tu, hata nchi za jirani walitamani kuoa mwanamke wa Kitanzania, sababu kuu ikiwa ni maadili.
Leo hayo kukutana nayo ni nadra sana, sisemi yamekwisha kabisa, lakini yameporomoka kwa kiwango kikubwa sana. Ni nini kilichotufikisha hapo? Nafahamu wengi sana maisha wanayokutana nayo ndivyo yalivyo, hawatoweza kunielewa kabisa, kwani hawana na cha kulinganisha nayo hayo, sisi wa zamani tunayoyaona kuwa ni maadili mema.
Wewe unayenisoma, maadili mema kwako ni yepi? Tutajie japo moja tu. Inawezekana kabisa nnavyoviona mimi kuwa si maadili mema, kwako ikawa ni ajabu kwanini hilo hayo si maadili mema.
My take; Maadili mema hayafundishwi tu, bali huanzia kwa kuigwa, je ni wazazi ndiyo tulikosea?
Tatizo millenials wanajifanya wanajua kila kituHii ni battle kati ya millenials. Baby boomers na gen Z
Andiko zuri, chanzo kikubwa ni malezi na mfumo mbovu wa kulinda maadili ya mtanzania. Tumeona Arusha wakiweka mfano wa mfumo wa mavazi, watu wamezodoa... Ila kile wanachotaka kufanya ni kujenga mfumo wa kulinda maadili, hapa si semi kuwa ndio mfumo njia bora but at least wameonesha nia.Bila ya shaka, wengi wa wale wenye umri iliozido miaka 40 watanielewa.