Ukosefu wa maji Tanga; Rais Samia tusaidie, Waziri Aweso ameshindwa kuingilia kati

Ukosefu wa maji Tanga; Rais Samia tusaidie, Waziri Aweso ameshindwa kuingilia kati

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Siku ya kumi hakuna maji (ukiacha sehemu ndogo za "wakubwa"). Hatuna maji. Almost the whole of Tanga city is with no water!
Dar yalipokosekana, viongozi waliandamana kwenda Ruvu. Hapa hakuna lolote wala taarifa hawatupi kuna nini
 
Mnapata maji kutoka chanzo kipi, maana naona haya mabadiliko ya tabia nchi yanakuja na tishio kubwa..
 
Mnapata maji kutoka chanzo kipi, maana naona haya mabadiliko ya tabia nchi yanakuja na tishio kubwa..
Amani hills , East usambara mountains, mto Zigi, maji yamejaa tele huko
 
Mto pangani maji amna eeeh, amani reserve, sasa Tanga Raha sana tena sana
 
Back
Top Bottom