Ukosefu wa maji Tanga; Rais Samia tusaidie, Waziri Aweso ameshindwa kuingilia kati

Mto Ruvu hatua chache tu toka Handeni mto ambao haukauki through out the year lakini Maji Handeni hakuna wala Kilindi [emoji848][emoji848]

Mnataka wananchi wafanye nini ili muwajibike katika kuwapa tia huduma ya msingi ya maji?
 
watanzania muzi muzi
 
Mnapata maji kutoka chanzo kipi, maana naona haya mabadiliko ya tabia nchi yanakuja na tishio kubwa..
Mto Zigi milimani mani. Huko maji yako tele yanakotoka. sema hakuna wa kuwasimamia Tangauwasa wanafanya wanavyotaka
 
kuna shida huko kwenye mitambo yao umeme unekua mdogo hivo maji hayapandi tena nakushauri ukifungua bomba yakawa yanachuruzika kama mchirizi kinga ndoo hivohivo ndio yanatoka hivo tunakoelekea watu watakua wanayaiba maji na itakua hasara kwao
 
Hakuna kabisa hata tone! Umeme tatizo linatoka wapi? siku zote hizi hawajalitatua? Ni uzembe tu! Nasikia mishahara yao na matumizi yao vinatokana na maji wanayouza, hawalipwi na hazina. nani atakwenda kulipa bili katika mazingira kama haya! Let us wait and see!
 
Bajeti imetengwa kwa ajili ya kununua magoli ya Yanga leo. Nyie uko tanga mutusubiri kwanza.
 
Hakuna kabisa hata tone! Umeme tatizo linatoka wapi? siku zote hizi hawajalitatua? Ni uzembe tu! Nasikia mishahara yao na matumizi yao vinatokana na maji wanayouza, hawalipwi na hazina. nani atakwenda kulipa bili katika mazingira kama haya! Let us wait and see!
mimi leo nimeamka saba nimefungua bomba yakawa yanatoka kama mchirizi nikasema ngoja nilale niamke saa tisa hope yatakua yamechanganya, kweli nimeamka muda huo ndio mbaya yan yalitoka kidogo yakakata nakuna muda umeme ulikatika sasa ndio nawaza hapa na maji chumvi ya kwenye yale mabomba ya gudugudu
 
JANA YALITOKA KIDOGO SANA MWAHAKO. SHIDA TUPU BADO, WALICHOKIFANYA NI KUTOA MAGARI YA MATANGAZO ETI UMME NI MDOGO BLADIFAKEN SHIRIKA
 
Back
Top Bottom