Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Hii hali inamsikitisha sana Putin. Ni suala ambalo he never expected kabisa. Hii vita ilipaswa kuwa operation ya siku 2 tatu ikizidi week. Sasa ni mwaka wa pili. Na hawa Ukraine wameanza kuingia ndani ya Russia.
Wanasonga mbele. Nini tatizo? Putin kweli wa kusaidiwa na vinchi vidogo vidogo? Iran wamejitahidi sana kumsaidia Putin. Lakini naona hali bado si nzuri sana.
Au itakuwa anafanya makusudi ili asioneshe nguvu zake kwa maadui zake? Anajifanya mnyonge? Putin tulimtegemea sana afanye kweli. Hii nchi ipo tu hapo pembeni yake. Ka nchi kadogo tu. Si mbali. Angeamuru tu jeshi lake liende kukafyekelea mbali.