ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Hahahaha sawa sawa waendelee ku mobilize ila jombo limepigika 😄 🤣 toka 2022 walishafanyq MobilizationInavyosemekana Russia ameanza ku mobilize jeshi kubwa pale Kursk.
Sasa haijulikani kama idadi ya askari wa Ukraine itaendana na kukinzana na idadi ya kikosi Russia alichopeleka.
Shida Ukraine ina man power ndogo kijeshi.Hahahaha sawa sawa waendelee ku mobilize ila jombo limepigika 😄 🤣 toka 2022 walishafanyq Mobilization
Wewe ndio unajua mrangi wa kondoaPutin hatoki kirahisi hivyo
Soon mtasikia mchezo ukatavyobadilika
Ova
Kuna watu wapo nyuma ya Ukraine wanaotoa silaha baadaye watachangia man power urusi akiwa amechokaShida Ukraine ina man power ndogo kijeshi.
Muda utaongea wacha niishie kusema hivyo mkuu.
Umejibu kinyonge sana, hii sio tabia tuliyoizoea kwa mashabiki wa Putin hapa Afrika.Shida Ukraine ina man power ndogo kijeshi.
Muda utaongea wacha niishie kusema hivyo mkuu.
Mkuu hii nadharia ngumu sana tusiipe nafasi kubwa.Kuna watu wapo nyuma ya Ukraine wanaotoa silaha baadaye watachangia man power urusi akiwa amechoka
😄 una amini kweli mimi ni mrangiWewe ndio unajua mrangi wa kondoa
Sijajibu kinyonge nimeongea uhalisia mkuu.Umejibu kinyonge sana, hii sio tabia tuliyoizoea kwa mashabiki wa Putin hapa Afrika.
Jitahidi ufuatilie habari kwa kina, ila kwa kifupi tu ujue nchi yenye silaha za nyuklia hakuna namna inaweza pigwa na nchi isokua na silaha hizo, the only best outcome kwa Ukraine ni WWIII ambayo hakuna mjinga anaweza kukubali kuanzisha kwasababu ndo utakua mwisho wa dunia.Ndio maana nasema NATO haijatoa silaha kali na bora kwa Ukraine otherwise Moscow ingeshakuwa majivu na kwa namna mambo yanavoenda mtaona Moscow ikipigwa?!
Silaha za nuclear hazina mshinda all will be uses kama hauna taarifa Ukraine ina technology ya nuclear na vinu kadhaa vya nulcera hata kinu kikupwa cha nuclear ulaya iko Ukraine. So they can make bomb as quickly as they wish to counter Russian aggression. Baada ya USSR kuvunjika mabomu ya nuclear ya Ukraine yalipelekwa hadi Russia akiwa mdhamini wa usalama wa Ukraine. Mind you again Ukraine has nuclear knowledge they only lack a bomb but can make itJitahidi ufuatilie habari kwa kina, ila kwa kifupi tu ujue nchi yenye silaha za nyuklia hakuna namna inaweza pigwa na nchi isokua na silaha hizo, the only best outcome kwa Ukraine ni WWIII ambayo hakuna mjinga anaweza kukubali kuanzisha kwasababu ndo utakua mwisho wa dunia.
Kwahiyo f16 zikianza kutumika ndio utaamini kuwa Nato wako Ukraine?NATO hapigani na Russia kwanza achana na uongo. Abraham tanks hazizidi 30 alizopewa Ukraine na leopard hazifikk 200 je ndio silaha unazose.a?
F-16 hazijaanza kutumika
Rocket qalizopewa Ukraine haina range ya lm400 upo hapo?
Vinu vya Nyuklia vya Ukraine vilijengwa na Russia wakati wa umoja wa Kisoviet. Ni kama ndege za Ukraine za MIG na Sukhoi ni teknolojia ya Russia sio Ukraine.Silaha za nuclear hazina mshinda all will be uses kama hauna taarifa Ukraine ina technology ya nuclear na vinu kadhaa vya nulcera hata kinu kikupwa cha nuclear ulaya iko Ukraine. So they can make bomb as quickly as they wish to counter Russian aggression. Baada ya USSR kuvunjika mabomu ya nuclear ya Ukraine yalipelekwa hadi Russia akiwa mdhamini wa usalama wa Ukraine. Mind you again Ukraine has nuclear knowledge they only lack a bomb but can make it
Hujui tofauti ya Russia na soviet union naona?!! Unaweza fikiria leo marekani ikisambaratika Texas haitakuwa na ujuzi wa nuclear? Wahusika na wasimamizi wa silaha wangeweza tokea jamhuri yeyote ya soviet?! Kwa hiyo wenye ujuzi sio ethnic Russians pekee nduguVinu vya Nyuklia vya Ukraine vilijengwa na Russia wakati wa umoja wa Kisoviet. Ni kama ndege za Ukraine za MIG na Sukhoi ni teknolojia ya Russia sio Ukraine.
Unachukulia mambo kiwepesi sana, sawa kila la heri.Silaha za nuclear hazina mshinda all will be uses kama hauna taarifa Ukraine ina technology ya nuclear na vinu kadhaa vya nulcera hata kinu kikupwa cha nuclear ulaya iko Ukraine. So they can make bomb as quickly as they wish to counter Russian aggression. Baada ya USSR kuvunjika mabomu ya nuclear ya Ukraine yalipelekwa hadi Russia akiwa mdhamini wa usalama wa Ukraine. Mind you again Ukraine has nuclear knowledge they only lack a bomb but can make it
Soviet ulikuwa ni umoja wa nchi mbalimbali chini ya Russia. Russia ndio Soviet yenyewe kwa sababu ndio iliziunganisha nchi zote za umoja huo na ndio ilikuwa ikiziwezesha kijeshi ikiwemo Ukraine.Hujui tofauti ya Russia na soviet union naona?!! Unaweza fikiria leo marekani ikisambaratika Texas haitakuwa na ujuzi wa nuclear? Wahusika na wasimamizi wa silaha wangeweza tokea jamhuri yeyote ya soviet?! Kwa hiyo wenye ujuzi sio ethnic Russians pekee ndugu
A
Kwenye jamhuri nyingi sa soviet Russia, Ukraine, Kazakhstan na Belarus zilikuwa na nuclear weapons japo button ilikuwa Moscow kumbuka watawala wa soviet walitoka jamhuri yeyote sio lazima Russia na wote walikuwa na access na knowledge ya spaces, aviation, nuclear etc Joseph Stalin alitoka Georgia lakin ndio alikuwa kiongozi aliedumu sana USSRSoviet ulikuwa ni umoja wa nchi mbalimbali chini ya Russia. Russia ndio Soviet yenyewe kwa sababu ndio iliziunganisha nchi zote za umoja huo na ndio ilikuwa ikiziwezesha kijeshi ikiwemo Ukraine.
Kwahiyo wanasayansi waliounda ndege za Sukhoi na Mig walitoka nchi gani ya Kisoviet?
Naona unawafahamu vizuri Hawa jamaa,siku hizi wamepunguza mizuka.,hata Babu Yao Putin zile mbwembwe za kutuma iskander, sijui hypersonic Ukraine ameona hazisaidii kaachana nazo kabisa..,kwa Sasa Ukraine yupo anampumulia kisogoni,Tena ndani ya mipaka yake inayotambulika kimataifa, lakini hakuna reaction ya maana aliyochukua!Umejibu kinyonge sana, hii sio tabia tuliyoizoea kwa mashabiki wa Putin hapa Afrika.
Teknolojia ya nyuklia wanayo warusi tangu Soviet, hata Uturuki tu anatengenezewa kinu cha nyuklia na Russia. Kwenye zana za kivita Sukhoi na Mikoyan ni wanasayansi wa kirusi waliobuni ndege vita za Sukhoi na Mig makao makuu yako Russia. Hata air defence system inayosifiwa ya S300 ambayo inatumiwa na Ukraine na hata nchi za wanachama wa Nato kama Ugiriki ni utaalam wa Russia. Kazi ya Almaz Antey hiyo, kampuni kubwa la Russia la zana za kivita.Kwenye jamhuri nyingi sa soviet Russia, Ukraine, Kazakhstan na Belarus zilikuwa na nuclear weapons japo button ilikuwa Moscow kumbuka watawala wa soviet walitoka jamhuri yeyote sio lazima Russia na wote walikuwa na access na knowledge ya spaces, aviation, nuclear etc Joseph Stalin alitoka Georgia lakin ndio alikuwa kiongozi aliedumu sana USSR