Ukraine ndani ya Urusi, inataka kumwondoa Putin Madarakani? Je hii ni dalili ya World War III?

Inavyosemekana Russia ameanza ku mobilize jeshi kubwa pale Kursk.
Sasa haijulikani kama idadi ya askari wa Ukraine itaendana na kukinzana na idadi ya kikosi Russia alichopeleka.
Hahahaha sawa sawa waendelee ku mobilize ila jombo limepigika 😄 🤣 toka 2022 walishafanyq Mobilization
 
Shida Ukraine ina man power ndogo kijeshi.
Muda utaongea wacha niishie kusema hivyo mkuu.
 
Kuna watu wapo nyuma ya Ukraine wanaotoa silaha baadaye watachangia man power urusi akiwa amechoka
Mkuu hii nadharia ngumu sana tusiipe nafasi kubwa.
Maana hata Russia ana maswahiba wa kumpa man power tena taifa la kwanza Belarus la Alexandra Lukashenko.
 
Umejibu kinyonge sana, hii sio tabia tuliyoizoea kwa mashabiki wa Putin hapa Afrika.
Sijajibu kinyonge nimeongea uhalisia mkuu.
Hata political analyst wa magharibi wanasema vivyo hivyo kuwa hatua alochukua Ukraine Kursk ni hatua hatari kwasababu ya kupungukiwa man power.
Kumbuka Bakhmut kwanini palimchachafya.
 
Ndio maana nasema NATO haijatoa silaha kali na bora kwa Ukraine otherwise Moscow ingeshakuwa majivu na kwa namna mambo yanavoenda mtaona Moscow ikipigwa?!
Jitahidi ufuatilie habari kwa kina, ila kwa kifupi tu ujue nchi yenye silaha za nyuklia hakuna namna inaweza pigwa na nchi isokua na silaha hizo, the only best outcome kwa Ukraine ni WWIII ambayo hakuna mjinga anaweza kukubali kuanzisha kwasababu ndo utakua mwisho wa dunia.
 
Silaha za nuclear hazina mshinda all will be uses kama hauna taarifa Ukraine ina technology ya nuclear na vinu kadhaa vya nulcera hata kinu kikupwa cha nuclear ulaya iko Ukraine. So they can make bomb as quickly as they wish to counter Russian aggression. Baada ya USSR kuvunjika mabomu ya nuclear ya Ukraine yalipelekwa hadi Russia akiwa mdhamini wa usalama wa Ukraine. Mind you again Ukraine has nuclear knowledge they only lack a bomb but can make it
 
NATO hapigani na Russia kwanza achana na uongo. Abraham tanks hazizidi 30 alizopewa Ukraine na leopard hazifikk 200 je ndio silaha unazose.a?
F-16 hazijaanza kutumika
Rocket qalizopewa Ukraine haina range ya lm400 upo hapo?
Kwahiyo f16 zikianza kutumika ndio utaamini kuwa Nato wako Ukraine?
 
Silaha za nuclear hazina mshinda all will be uses kama hauna taarifa Ukraine ina technology ya nuclear na vinu kadhaa vya nulcera hata kinu kikupwa cha nuclear ulaya iko Ukraine. So they can make bomb as quickly as they wish to counter Russian aggression. Baada ya USSR kuvunjika mabomu ya nuclear ya Ukraine yalipelekwa hadi Russia akiwa mdhamini wa usalama wa Ukraine. Mind you again Ukraine has nuclear knowledge they only lack a bomb but can make it
Vinu vya Nyuklia vya Ukraine vilijengwa na Russia wakati wa umoja wa Kisoviet. Ni kama ndege za Ukraine za MIG na Sukhoi ni teknolojia ya Russia sio Ukraine.
 
Hujui tofauti ya Russia na soviet union naona?!! Unaweza fikiria leo marekani ikisambaratika Texas haitakuwa na ujuzi wa nuclear? Wahusika na wasimamizi wa silaha wangeweza tokea jamhuri yeyote ya soviet?! Kwa hiyo wenye ujuzi sio ethnic Russians pekee ndugu

A
 
Silaha za nuclear hazina mshinda all will be uses kama hauna taarifa Ukraine ina technology ya nuclear na vinu kadhaa vya nulcera hata kinu kikupwa cha nuclear ulaya iko Ukraine. So they can make bomb as quickly as they wish to counter Russian aggression. Baada ya USSR kuvunjika mabomu ya nuclear ya Ukraine yalipelekwa hadi Russia akiwa mdhamini wa usalama wa Ukraine. Mind you again Ukraine has nuclear knowledge they only lack a bomb but can make it
Unachukulia mambo kiwepesi sana, sawa kila la heri.
 
Hujui tofauti ya Russia na soviet union naona?!! Unaweza fikiria leo marekani ikisambaratika Texas haitakuwa na ujuzi wa nuclear? Wahusika na wasimamizi wa silaha wangeweza tokea jamhuri yeyote ya soviet?! Kwa hiyo wenye ujuzi sio ethnic Russians pekee ndugu

A
Soviet ulikuwa ni umoja wa nchi mbalimbali chini ya Russia. Russia ndio Soviet yenyewe kwa sababu ndio iliziunganisha nchi zote za umoja huo na ndio ilikuwa ikiziwezesha kijeshi ikiwemo Ukraine.

Kwahiyo wanasayansi waliounda ndege za Sukhoi na Mig walitoka nchi gani ya Kisoviet?
 
Kwenye jamhuri nyingi sa soviet Russia, Ukraine, Kazakhstan na Belarus zilikuwa na nuclear weapons japo button ilikuwa Moscow kumbuka watawala wa soviet walitoka jamhuri yeyote sio lazima Russia na wote walikuwa na access na knowledge ya spaces, aviation, nuclear etc Joseph Stalin alitoka Georgia lakin ndio alikuwa kiongozi aliedumu sana USSR
 
Umejibu kinyonge sana, hii sio tabia tuliyoizoea kwa mashabiki wa Putin hapa Afrika.
Naona unawafahamu vizuri Hawa jamaa,siku hizi wamepunguza mizuka.,hata Babu Yao Putin zile mbwembwe za kutuma iskander, sijui hypersonic Ukraine ameona hazisaidii kaachana nazo kabisa..,kwa Sasa Ukraine yupo anampumulia kisogoni,Tena ndani ya mipaka yake inayotambulika kimataifa, lakini hakuna reaction ya maana aliyochukua!
 
Kwenye jamhuri nyingi sa soviet Russia, Ukraine, Kazakhstan na Belarus zilikuwa na nuclear weapons japo button ilikuwa Moscow kumbuka watawala wa soviet walitoka jamhuri yeyote sio lazima Russia na wote walikuwa na access na knowledge ya spaces, aviation, nuclear etc Joseph Stalin alitoka Georgia lakin ndio alikuwa kiongozi aliedumu sana USSR
Teknolojia ya nyuklia wanayo warusi tangu Soviet, hata Uturuki tu anatengenezewa kinu cha nyuklia na Russia. Kwenye zana za kivita Sukhoi na Mikoyan ni wanasayansi wa kirusi waliobuni ndege vita za Sukhoi na Mig makao makuu yako Russia. Hata air defence system inayosifiwa ya S300 ambayo inatumiwa na Ukraine na hata nchi za wanachama wa Nato kama Ugiriki ni utaalam wa Russia. Kazi ya Almaz Antey hiyo, kampuni kubwa la Russia la zana za kivita.

Ukraine yenyewe ilikuwa na wataalam wake kama Antonov ambaye ndiye mbunifu wa ndege za Antonov ambazo hata Russia anazo na kiwanda kiko Ukraine.
 
Back
Top Bottom