Ukraine waamua kuachia mji wa Severodonetsk baada ya kichapo kikali

Kumbe hii strategy ya kubomoa maghorofa haijaanzia hapo Ukraine
 
Kharkive lazima itashambuliwa
Na pia Odesa itatekwa hili Ukraine ibaki Landlocked.
 
Kumbe hii strategy ya kubomoa maghorofa haijaanzia hapo Ukraine
Kwenye Vita ya pili ya Chechnya huko 'Gronzy' walifanya uharibifu mkubwa mno, mpaka mji huo ulitangazwa na UN kama mji wa maafa ulioharibiwa zaidi duniani wakati huo....ila baada ya Vita umejengwa upya.

Huko Syria (Allepo) walifanya uharibifu mkubwa pia ila sidhani kama watapajenga huko maana wana kazi ya kujenga hii miji wanayowapokonya Ukraine.
 
Kinachotekwa ni ARDHI; vilivyo juu yake kama majengo na miundombinu, vitajengwa Kama vilivyokuwa vimejengwa awali hata na kuzidi.
Raslimali iliyoko chini ya ardhi, kama madini na gesi, vitabaki kuwa chini ya aliyeiteka.
GO Vladmir Putin; PUT THEM IN.
 
Propaganda, hakuna chanzo chochote Cha masaa 72, pia alijiandaa na Vita ya Dunia, hivyo msijifariji
Unaota mrusi anashambulia kama mwehu kutumia cruise missile ambazo bei ya kutengeneza moja ni shilingi za kitanzania bilioni 16 na kutengeneza moja kiwandani inachukua minimum Miaka Minne

Yeye Putin anayarusha kama mwehu hajui.stock control kuwa high value silaha ya kivita unatakiwa tutumie kiuangalifu na itumike tu kwenye high value targets

Yeye Anatumia kushambulia maeneo ya raia zikiwemo hospitali,shule barabara nk


Ukraine wakiyatumia hawarushi kama wehu kama Putin wanalenga high value targets kwa kulenga vichwa vya magenerali wa Urusi na kuwaua huku waki manage vizuri stock zao za missiles
Warusi wanarusha hovyo hovyo tu bila kujali value of target wala stock control

NATO wanampelekesha Putin ili stock imwishie halafu wamuonyeshe cha mtema kuni.
Jeshi la Urusi wanapigana kama wehu ndio maana target zao wanalenga maeneo ya kiraia zaidi
 
Ukibomoa hotel.au hospitali au shule au chuo hao wananchi ulitaka eneo lao wanasoma wapi na kutibiwa wapi?
Ndio maana unaitwa uhalifu wa kivita dhidi ya raia
Putin ana kesi ya kujibu
 
Imefika mahali nikikutana na comments yako kwenye uzi wowote sijishughulishi kuisoma kwasababu nahisi imeandikwa na mjinga fulani [emoji706][emoji706]
 
Una matatizo ya akili hasa saikolojia yako haipo sawa .
 
Imefika mahali nikikutana na comments yako kwenye uzi wowote sijishughulishi kuisoma kwasababu nahisi imeandikwa na mjinga fulani [emoji706][emoji706]
Ni haki yako ya kidemokrasia kusoma au kutosoma wala hata huhitaji kunitukana naheshimu haki yako ya kidemokrasia hapa sio Russia kwa Putin.Jamii Forums ni eneo la demokrasia
 
Shida yake sio majengo shida yake vitu vilivyopo chinj ya ardhi katika ukanda huo thaman yeke zaidi ya miundo mbinu
 
Yehodayachenikov [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hakuna dalil km atamaliza stock yake mapema kwa sabab mpaka sasa kuna bom ambazo majasus wa nato wana uhakika jamaa anayo na bado hayajatumika hata moja achana na yale mwendokasi ambayo katumia matano tu ilhal inafahamika fika anayo zaid ya mia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…