Ukraine waanza kushambulia kwa makombora ya masafa marefu yenye maangamizi makubwa

🤣🤣🤣 Unamaana kanchi kanapopokea fedha, utaalamu,vifaa na wapambanaji toka NATO ila anakula kichapo na kuonyesha jinsi mlivyo dhaifu wote combined mwashindwa msaidia asizidi poteza maeneo yake bila mafanikio.
 
Kichapo kipi, mlishindwa kukateka, Kyev bado ipo na rais wao ambaye mlimpa masaa bado yupo licha ya hasara yenu hii, hebu waza kama JWTZ ikipoteza vyote hivi bado itakua jeshi tena

Kichapo kipi, mlishindwa kukateka, Kyev bado ipo na rais wao ambaye mlimpa masaa bado yupo licha ya hasara yenu hii, hebu waza kama JWTZ ikipoteza vyote hivi bado itakua jeshi tena

Hivi vita imeisha kwani mkuu?na unadhani sababu ni nni kama si kuwa tukipanga kupigana na Ukraine tunakuta mara kaingia US mara Japan,UK nk,unapangaje mashambulizi eti?ila Russia against 32 and still winning wth their tech combined.
So tutawachakaza badae mtakimbia mkishaona fursa zmeisha kweny nch ile,tutamshikisha adabu na kuchukua kila tunachotaka.
Na kuhusu hizo source,🤣🤣🤣 unadhani me kilaza ama wanajamvi vilaza hvyo kuamini precisely namba ya loss ya Warusi toka kwa Ukraine?nchi yenye akili za propaganda za magharibi,come on bro u got to do beta thn that,thats cheap😏😏
 
Russia against 32??? Hapo Kaukraine kalivyomtoza Urusi makamasi wakiongeza kataifa kengine kamoja si ndio nje nje....
Sweden wenyewe wameshindwa kutoa msaada maana wana ndege za kisasa ambazo hakuna rubani Ukraine mwenye ujuzi wa kuzitumia.
Huyo Urusi siku ajichanganye ashambulie kataifa kamoja ka-NATO ndio aelewe nini maana ya against 32...
 
Urusi na iheshimiwe na nchi zote. Tuseme amina ndugu zangu

Kichapo kipi, mlishindwa kukateka, Kyev bado ipo na rais wao ambaye mlimpa masaa bado yupo licha ya hasara yenu hii, hebu waza kama JWTZ ikipoteza vyote hivi bado itakua jeshi tena

Source? Kyiv Independent!! Mtu unategemea nini kutoka kwenye jeshi la ma clown akina Zelensky - maigizo tu 24X7 kwa bahati mbaya na wewe umekwisha kata shauri ku-join band wagon ya waigizaji/wasanii akina Zelensky na Biden!!

FYI jioni ya jana wanajeshi wa Ukraine takribani 2,000 walihamua kutupa silaha chini na kujisalimisha kwa jeshi mahili la Tzar PUTIN,na bado - What does that tell U,come next year Ukraine itakuwa imechukuliwa yote,hakuna cha Biden wala wapambe wake kufanya fyoko - mvua za makombora ya Putin yamewatisha ushirika wote wa NATO pamoja na kiranja wao mkuu, baada ya kubaini kwamba kumbe jeshi la Putin ni maji marefu likihamua kufanya kweli. Sasa subirini Putin a unleash hell on Earth kwenye jiji la Kiev uone kama hata sisimizi atabaki, nawa hakikisheni hutasikia tena inept propaganda za media za magharibi zinazo dai,eti "Jeshi la Urusi lilishindwa kuteka jiji la Kiev/Kyiv!!" uongo mtupu,mwanzo Putin akuwa na nia ya kuteka mji wa Kiev.
 
Na unadhani kanchi kama sweden anazo hizo ndege za ajabu Mrusi hana eti???
hivi misaada anapata kutoka nchi ngapi Ukraine?
 
😍
 
Ulitaka source iwe magazeti ya Kibongo au vipi, hebu tupe source yako kama mumeshaiteka Kyev au bado ni ngonjera, supapawa wa hovyo miezi imepita bado anahangaika ameshindwa kufunika kainchi kadogo sana ukilinganisha naye, tena mbaya zaidi ni jirani hapo pembeni mwake...

Na unadhani kanchi kama sweden anazo hizo ndege za ajabu Mrusi hana eti???
hivi misaada anapata kutoka nchi ngapi Ukraine?

Ndege zake huyo Mrusi zimeshindwa na wabeba javelin hapo Ukraine, amepoteza zaidi ya ndege mia mbili....

Kichapo kipi, mlishindwa kukateka, Kyev bado ipo na rais wao ambaye mlimpa masaa bado yupo licha ya hasara yenu hii, hebu waza kama JWTZ ikipoteza vyote hivi bado itakua jeshi tena

Hahahahaha ila we jamaa una mahaba au sijui unaamua tu kujitoa fahamu. Wenzako wanalia huko wanapoteza miji kila siku we unang'ang'ana na Kyiv tu. Ile ya Kyiv ilikuwa geresh na NATO wakaingia kingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…