Ukraine waanza kushambulia kwa makombora ya masafa marefu yenye maangamizi makubwa

Eti mtego [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kumekucha , long range precision works kazini. Smoke out the Russian rats.
For your information gazeti la "the SUN" ni Tabloid news paper habari zao nyingi ni sensational zenye lengo la kufurahisha baraza, kuvutia biashara na linauzika sana nchini Uingereza - hizo picha wala hazikupigwa huko Ukrain - zilipigwa zamani huko Merikani kwenye majaribio ya silaha, gazeti la the SUN walicho fanya pale niku-copy na ku-paste past events,basi.

Labda nikwambie kitu kingine cha ziada lakini chenye mshiko, ni hivi mkuu: Majenerali wa jeshi la USA wenye uzoefu mkubwa wa mwenendo wa vita wanasema hivi, na hapa nawa nukuu "US Military Aid is not gonna be a Game changer for Kiev,Ukraine has already lost" sasa sisi kamchape ni nani kuamini kwamba long range MRL zitamsadia comedian Zelensky kulishinda jeshi LA Urusi kwa kubadiri upepo wa vita in his favour - come ON!!!
 
Eti mtego [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wala usishangae, comedian Zelensky ana waumini wengi,akilemewa vita wanajeshi wake kusepa kwa kuogopa mvua za masika za makombora na mabom ya jeshi la Urusi - yeye anazuga Dunia pamoja wafadhili wake kwamba ametoa order kwa jeshi lake lifanye "tactical retreat" kumbe wamelemewa tu - ma muliple rocket launchers anazo pewa na USA haziwezi kumsaidia a clown Zelensky kushinda vita,anacho hitajika kufanya ni kwenda kumpigia magoti Tzar Putin mambo yaishe basi,hana jinsi, lakini akiendelea kusikiliza ushauri potofu wa utawala wa Merikani kwamba hasikubali kusitisha vita-basi akae akijuwa kwamba lengo la USA ni kutaka vita iendelee miaka nenda rudi ili wauze silaha zao, dont you forget kwamba American Military Industrial Complex thrives on endless war kwa kuuza silaha, Zelensky anatumika bila kujuwa kutokana na analytical mind yake kuwa dismal kabisa masaa yote anafanya maigizo tu, huku watu wake na nchi yake inateketea na kumegwa - hana habari kabisa anawasikiliza NATO!!
 
Oh, is it? Personally I don't think so.
 
Huto tukombora tuta haribiwa soon. Kama ni Wanaume hao Ukraine, basi warushe kombora litue moscow. Kama hawaja zoa majivu nchi yote.
Kitu kingine ni watu wachache wanao juwa kwamba pioneers wa rocket multi launcher systems ni Warusi - Wamerikani wali-copy ie reverse engineer Russian BM21 (Stalin Organs) uliyo ibiwa na jeshi la makaburu wakati wa vita ya Angola-silaha hiyo ilisafirishwa kwenda Merikani kuichunguza/study, baadae Wamerikani wakaunda an improved version ya kwao ambayo isn't even a game changer at all save GPS guided rockets/shells - lakini watu wanaichukulia kana kwamba ina uwezo wa kurusha tactical thermal Nuclear Shells/Rockets!!! Wanaipachika sifa kem kem zisizo kuwa na kichwa wala miguu,nina uhakika kwamba Warusi watazi hunt down na kuzilipuwa kwa kutumia sucidal drones.
 
Wenzako wanabondwa huko we endelea kujifariji tu..

Mngeiteka Kyev nisingepata usingizi, nilikua na hofu sana, ila sio kwa kupigwa kule, ngumi za uso.
 
Sasa Ukraine wana hiyo pesa ya kununuwa silaha kwa Marekani?
 
Mngeiteka Kyev nisingepata usingizi, nilikua na hofu sana, ila sio kwa kupigwa kule, ngumi za uso.
Ni suala la muda tu, Mmarekani na NATO yake aliishindwa Allepo usifikiri na Russia ataishindwa Kyiv. Siku atakują kushtuka Ukrainę yote imekuwa Russia nadhani ndio zile akili zako zitarudi
 
Ni suala la muda tu, Mmarekani na NATO yake aliishindwa Allepo usifikiri na Russia ataishindwa Kyiv. Siku atakują kushtuka Ukrainę yote imekuwa Russia nadhani ndio zile akili zako zitarudi

Miezi miine sasa Urusi ameingia hasara kiasi ambacho JWTZ ikiingia inafutika kama jeshi kabisa....
 
Miezi miine sasa Urusi ameingia hasara kiasi ambacho JWTZ ikiingia inafutika kama jeshi kabisa....
Ndio maana wanateka na kujimilikisha ardhi ya Ukraine, baada ya operation hasara yote hiyo itarudi. Vipi KDF imepata hasara kiasi gani pale Somalia?
 
Ndio maana wanateka na kujimilikisha ardhi ya Ukraine, baada ya operation hasara yote hiyo itarudi. Vipi KDF imepata hasara kiasi gani pale Somalia?

Kwa hasara yote waliyoingia wanapaswa kuwa wamefunika haka kainchi, lakini kwa walivyo hovyo bado sana, yaani hata waarabu watawakimbia hawa

Naona mnaanza kurekodi dideo na kurusha wakati Putin anakaribia Kyiv saivi
 
Ni suala la muda tu, Mmarekani na NATO yake aliishindwa Allepo usifikiri na Russia ataishindwa Kyiv. Siku atakują kushtuka Ukrainę yote imekuwa Russia nadhani ndio zile akili zako zitarudi
Mmarekani /NATO anayo uwezo wa kuingamiza na kuifuta kabisa Urusi kwenye ramani ndani ya dakika sifuri. Tatizo madhara ya hatua hii kwa dunia nzima hayaelezeki. Hivyo njia pekee ya kumkabili kichaa wa kremlin ni kwenda naye taratibu. African proverb inasema ,why burn a house to flush out a rat? Kremlin rat will be neutralized taratibu.
 
Pamoja na hivyo vikombora, Urusi inasonga mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…