Ukraine wakomboa mji wa Snihurivka. Hivi ile kura ya maoni nini ilikuwa maana yake?

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Ukraine wanaendelea kukomboa miji iliyopigiwa kura za maoni na Warusi.

Hivi yule kamanda wa Urusi tuliyeaminishwa ndiye muuaji namba moja kule Syria, mbona sijaona chochote cha ajabu kwake.

=========

Ukrainian troops say they have taken back the key town of Snihurivka, 50km (30 miles) to the north of Kherson.

Kyiv has also claimed big pushes on two fronts near Kherson, including advances of 7km in some places.

Russia says it has started to exit the city - its top gain in the invasion - but the process could take weeks.

Wednesday's announcement was viewed as a major setback for Moscow's war effort, though Ukrainian officials were sceptical - warning that the manoeuvre could be a trap.

There was no immediate evidence of any mass-scale Russian withdrawal from Kherson.

Ukraine's commander-in-chief Valeriy Zaluzhny said on Thursday that he could not confirm or deny the pull-out - but said his own forces had made important advances.

Gen Zaluzhny also said his soldiers had driven forward on two fronts on the western bank of the Dnipro river - an area of land which encompasses Kherson - taking control of 12 settlements.

Vita ni strategies,
Jikumbushe vita ya Iraq, kuna maeneo US alikuwa anarudishwa nyuma na anabadili njia.

Vita haipiganwi unavyotaka wewe?.. wenye medani wanajua zaidi.

Supply ya vifaa kutokea urussi kuvuka mto ilikuwa ngumu hapo Kherson, walikuwa wanatumia Patoni sababu daraja limeharibika. Ndo maana wamerudi upande wa pili wa mto. Waukraine pia hawawez vuka huo mto.

Russia wametake better Position hapo, pia hatari ya lile bwawa kulikuwa na kusababisha mafuriko kwenye hako kamji.
Watu wana intelligentsia zao na wamenusa hicho kitu, wewe unashupaza shingo kuwa wanganganie hiyo sehemu. Ili wamdurahishe nani.. Safety muhimu sana pia.

Yaani hapo ndo ukraine imeshinda vita?
Vita ambayo ina miaka 2 mbele mpaka uchaguzi wa us bado watakuwa vitani. Russia anajua hilo ndo maana amerelax.

NATO wanaogopa nini kumpa Zele Silaha za kupiga Moscow akamuue Putin??
Wanajua what’s next Moscow ikiwa under threat.
 
Usituletee hadithi za Iraq, pale Iraq Marekani alidhihirisha nini maana ya supapawa, alifyeka na ndani ya muda mfupi kaiteka Baghdad, ila mtume wenu Putin amejaribu kitu kama hicho Kyev kilichomkuta hatokaa asahau.

Nikiangalia hii picha huwa nahurumia sana, msafara wa majeshi ya Iraq ulifyekwa bila huruma, mpaka nikajikuta kwa namna fulani nachukia Wamarekani kwa walichokifanya hapa, haikupaswa kuua kihivi yaani..

Hiway-of-death-AP-600.jpg
 
Matokeo ya hii vita ni Trump kurudi white house na kukaa pamoja na Putin na Zelensky kumaliza tatizo, pia Kuna kitu inaitwa war propaganda and maneuver ndo kinachoendelea hapo Ukraine. Putin hajashindwa kama watu wanavoweza kufikiria, vita ni m
 
Kipi hiki tumesubiri tangu siku msafara ulifyekwa, Mrusi alianza kwa mkwara eti atakayempa silaha Ukraine ajue analo, leo hii HIMARS zinapitishwa mchana tu....na zimemfanyizia Mrusi ile balaa.
Nato-Us led watakuja kulia kilio kibaya sana, wewe subiri tuu.
 
Matokeo ya hii vita ni Trump kurudi white house na kukaa pamoja na Putin na Zelensky kumaliza tatizo, pia Kuna kitu inaitwa war propaganda and maneuver ndo kinachoendelea hapo Ukraine. Putin hajashindwa kama watu wanavoweza kufikiria, vita ni m

Kama hajashindwa mbona mobilization hadi vijiweni, mbona anafungulia wafungwa, mbona amefanya retreat tena kwa maeneo aliyopigia kura ya maoni, mbona Kyev ilimshinda kuparamia...mbono mbona mbona zipo nyingi sana, sijui mashabiki wa Putin mumepofushwa na nini haswa.
 
Vita ni strategies,
Jikumbushe vita ya Iraq, kuna maeneo US alikuwa anarudishwa nyuma na anabadili njia.

Vita haipiganwi unavyotaka wewe?.. wenye medani wanajua zaidi.

Supply ya vifaa kutokea urussi kuvuka mto ilikuwa ngumu hapo Kherson, walikuwa wanatumia Patoni sababu daraja limeharibika. Ndo maana wamerudi upande wa pili wa mto. Waukraine pia hawawez vuka huo mto.

Russia wametake better Position hapo, pia hatari ya lile bwawa kulikuwa na kusababisha mafuriko kwenye hako kamji.
Watu wana intelligentsia zao na wamenusa hicho kitu, wewe unashupaza shingo kuwa wanganganie hiyo sehemu. Ili wamdurahishe nani.. Safety muhimu sana pia.

Yaani hapo ndo ukraine imeshinda vita?
Vita ambayo ina miaka 2 mbele mpaka uchaguzi wa us bado watakuwa vitani. Russia anajua hilo ndo maana amerelax.

NATO wanaogopa nini kumpa Zele Silaha za kupiga Moscow akamuue Putin??
Wanajua what’s next Moscow ikiwa under threat.
Mkuu nenda tu ICU ukawape matumaini wagonjwa wanaokaribia mwisho wa uhai wao,hii kazi utakuwa unaimudu vizuri sana.
 
Vita ni strategies,
Jikumbushe vita ya Iraq, kuna maeneo US alikuwa anarudishwa nyuma na anabadili njia.

Vita haipiganwi unavyotaka wewe?.. wenye medani wanajua zaidi.

Supply ya vifaa kutokea urussi kuvuka mto ilikuwa ngumu hapo Kherson, walikuwa wanatumia Patoni sababu daraja limeharibika. Ndo maana wamerudi upande wa pili wa mto. Waukraine pia hawawez vuka huo mto.

Russia wametake better Position hapo, pia hatari ya lile bwawa kulikuwa na kusababisha mafuriko kwenye hako kamji.
Watu wana intelligentsia zao na wamenusa hicho kitu, wewe unashupaza shingo kuwa wanganganie hiyo sehemu. Ili wamdurahishe nani.. Safety muhimu sana pia.

Yaani hapo ndo ukraine imeshinda vita?
Vita ambayo ina miaka 2 mbele mpaka uchaguzi wa us bado watakuwa vitani. Russia anajua hilo ndo maana amerelax.

NATO wanaogopa nini kumpa Zele Silaha za kupiga Moscow akamuue Putin??
Wanajua what’s next Moscow ikiwa under threat.
Sio lengo la NATO kuuwa raia wasio na hatia nigga,

Wacha huyu muuaji aoneshwe shughuli

Huko ulaya na marekani ndio kwanza bajeti inaongezwa kufadhili vita kama urusi alijua vita imeisha wenzake wanasema vita yenyewe bado kuanza

Mzigo kutoka usa umeshatua wacha wavamizi wacheze nazo hizo, labda waondoke kwenye ardhi ya watu.
 
Umepoteza Mikoa 4 . Kwenye mkoa mmoja umepata wilaya ya Temeke ndo umeshinda vita.
 
Back
Top Bottom